Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
Nakutakia mapumziko mema ya milele ingekuwa vyema sana ufe huku unapiga story so fanya hivi changanya robo unga wa siment na kisha ichanganye kwenye ugali kula yote ...utafurahi mwenyewe tu.
Hebu subiri kidogo,hayo maunywaji yatakuapi bro you know am not actually a teetotal nije nikupe company bro it isnot gud to die lonely
Kumbe hata ijumaa zina Hangovers?
Umeamkia Bar gani?
kila siku siku kuu. Usiombee kiama kwa sababu ya shida zako, wenzio wanakamua kuanzia asubuhi, siku saba kwa wiki.
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!
Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.
Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.
Nimeshapata TZS 100,000. Sijiui, msipochangia nitapeleka mada baa. Najua watu wana roho mbaya watakataa kuchangia makusudi ili nijiue.
sifa za kijinga!!!
Wanawake hampendi kuolewa.
Ahahahahaaah!!Mmmmmmh hicho kichwa cha habari kimenishtua kama nini. Mwone vile!!!!!
Huu ugomvi!! Ngoja niondoke sitaki kuwa shahidi.Wanawake hampendi kuolewa.
Huu ugomvi!! Ngoja niondoke sitaki kuwa shahidi.