Msipochangamia mada yangu ...

Nakutakia mapumziko mema ya milele ingekuwa vyema sana ufe huku unapiga story so fanya hivi changanya robo unga wa siment na kisha ichanganye kwenye ugali kula yote ...utafurahi mwenyewe tu.
 
Hebu subiri kidogo,hayo maunywaji yatakuapi bro you know am not actually a teetotal nije nikupe company bro it isnot gud to die lonely

Karibu. Uwe tayari kuchangia mada hata kama ninaongea pumba. Karibu Ikulu magogoni kuanzia saa 12 jioni. Pitia geti wa PM, ulizia CashJ utaelekezwa.
 
Vip mwenzetu mie na duka la kuuza sumu zote ,
Nimekutumia PM ili kukurahisishia mambo
 
Mmmmmmh hicho kichwa cha habari kimenishtua kama nini. Mwone vile!!!!!
 
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!

Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.

Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.

Yaani nikisikia umekunywa sumu mi nitafanya sherehe kubwa sana. Kunywa kunywa kunywa kunywa, maana nahisi usipokunywa wewe, utanywesha wenzako. Halafu wanasheria mko wapi mfungulie mashtaka hili! Tayari lina kesi pasipo lenyewe kujua! Kalagabaho
 
Aisee umefanya uamuzi mzuri mkuu kwan Tz tumekuwa wengi sana mpaka hewa imekuwa nzito.ila ni kwanini usingefanya saa nne flan ili watu wapate kisingizio cha kumwacha mkoloni mapema leo.bytheway mie ni mpishi mzuri sana kwenye misiba yaan service yangu hufurahiwa na waombolezaji wengi.niunganishie dili tafadhali kwani maendeleo yangu ya kimaisha yanategemea vifo vyenu
 
Umeshaharibu deal, ili ufanikiwe kujiua inabidi ufanye siri, ukishasema hutafanikiwa.
 
Back
Top Bottom