Msipochangamia mada yangu ...

We kufa tu. La msingi ufe peke yako. Ata tukikuzuia leo sikunyingine ukipandwa na mizuka itajiua tu. Tena ungetuuliza sumu gani inaua haraka au inatesa sana.
 
Wenzako huwa hawasemi ni vitendo bila kuchelewa.

Nishachangia kwa njia nyingine furahi sasa mwone kwanza kutaka post tu
 
Dena Amsi.
Banned! Alipita njia gani tena huyu jamani? saangapi? :A S 13:
 
Rafiki yangu mpendwa.

kujiua ni kuua. na kama ilivyoandikwa na baada ya kifo tunatazamia hukumu ya Mungu yenye gadhabu kuu. sasa wewe utakuwa umejichagulia mwisho mbaya.
sijui sababu ila nakushauri ufikili mara mbili mbili.

Wewe ni wa pekee, ukitoka hakuna atakeyekuwa kama wewe na nafasi yako tutaimisi mdau. Chamsingi endelea lkupamdana na maisha. usije ukaruhusu mtu yeyote yule kukuondolea amani na furaha yako. awe ndugu, mke, mchumba, rafiki au jirani.

Pole sana naamini kwenye muda wako wa apointment na kifo utakuwa unajitahidi kujenga nchi hii iliyochakachuliwa na ufisadi dhambi na viongozi wabinafi.
 
Kashaija(Mushaija) nlitaka kuuliza maziko yatafanyikia maeneo gani? Karagwe,Kanyigo,Muleba,Maruku au??? ila coz watu tushachangia na umeahirisha kujiua basi ni jambo jema pia. Usipende kuwaza kujiua sio vizuri, sawaeeee????!!!
 
Kashaija(Mushaija) nlitaka kuuliza maziko yatafanyikia maeneo gani? Karagwe,Kanyigo,Muleba,Maruku au??? ila coz watu tushachangia na umeahirisha kujiua basi ni jambo jema pia. Usipende kuwaza kujiua sio vizuri, sawaeeee????!!!

Alisema yatafanyika Katoma au Bugandika kwa shangazi yake.

Acha nimuongezee mchango
 
ehh jaman niwaie kiwanja mbali na gongolambto
utatumia sumu gan?
RIP IN ADVANCE
 
Ningependa kuuliza swali je wapo wanaume wa kweli?couz kwanzia nijue wanaume wananimiza sana jamani kama yupo mkweli nijulishe nipate kumjua baadae tuoane
 
Back
Top Bottom