Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,248
- 6,378
Hivi si ni huyu huyu Mh. Zitto aliyesema kuwa ana majina ya watu ama vigogo walioweka hela Uswisi na angewataja muda si mrefu? Katika kumbukumbu zangu zinasema ni mwaka sasa toka aropoke haya maneno. Huyu jamaa ni hatari sana kwa taifa letu na inabidi aogopwe kama ebola.