Msigwa afungua matawi ya chama akitokea Arumeru

Nina hakika 2015 Iringa nayo itakuwa turning point of political revolution/transformation hapa Tanzania. Hongera Msigwa, hongereni wana Iringa.
 
hici kikauli kimeniboa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana,

ccm ndo chama cha msimu kwani kila msimu wa uchanguzi, wanapika pilau, wanagawa kofia, wanasikiliza wananchi, wanalia lia,

CDM ni chama makini, kama unavyoona shughuli za chama ndo izo hapo then unakiita chama ca msimu ,

MKUU FUTA IYO KAULI AISEEEE

Me nilivoelewa kakauli kake it was an irony...anawabeza wanaoiita CHADEMA chama cha msimu halafu bdo kinatikisa. It was literary coment...i lyk it.
 
Nakua na shaka kidogo na viongozi wa CHADEMA, hasa wanapopokea wanachama wapya wanawatathimini vipi?
Kama hapa tunaona balozi wa CCM amejisalimisha CHADEMA, na baada ya kujisalimisha tu kapewa kua kiongozi/balozi wa CHADEMA je akiwa mamluki si atakivuruga chama? Naomba kwa hili viongozi/wanachama mliweke sawa
 
Back
Top Bottom