Msichana wa kazi

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
Anatafutwa msichana wa kazi atakae kua na uwezo wa kujituma coz kazi na mazingira
condition ya kazi ; kazi ya cafe ajue pika chapati min all snacks supu and chips
maeneo ya kazi supposed anatakiwa awe mo town(shanty)
atapewa house allowence mean chumba yake free (chumba ya nje as other wapangaji)
msosi free na coz atakua anapata na joice some tyme na ndo biashara iko mwanzoni salary 30 000\=
au alipwe 65 000\= then ajitegemee kila kitu chumba kiko wazi till now na nafasi ipo still
 
Huo ni mshahara wa nchi gani kwa mwezi ndugu, huyo msichana naona hataweza kununua hata mahitaji yake muhimu ambayo hawezi kukwepa.
Naona kama unaye ndugu wa karibu waweza kutafuta kuliko kuja kupata lawama kwa kuajiri mtu chini ya kiwango cha mshahara kinachokubalika/
Kwa ajira hizi watanzania hatutoki ng'o.
 
Akila chakula cha bei rahisi sana kwa siku atakula 4500, kwa mwezi ni 135,000 hapo hajanywa juisi au soda....Chumba Moshi ni Sh.ngapi....let us say 20,000 na chakula inakuwa 155,000 akipewa hiyo 30,000 mi naona poa tu kwa msichana!!
 
Back
Top Bottom