Msiba wa Regia waibua mazito

Eeeeh!nasikia mlitaka kuzipiga kavukavu tena huko ifakara?!!!hivi mwanangu kwanini watu wa CHADEMA wanapenda sana siasa za ugomvi?juzi tumeona picha za jamaa anaedai kumwagiwa tindikali na watu wa chadema,jana tena wenyewe wanakunjana mashati tena msibani..hii aibu sana hii,hiki chama sasa inabidi kitazamwa kwa jicho la tahadahri hasa huko vijijini!mheshimiwa mbowe changamoto hiyo,kisafishe chama anzia matawini..
Kwa mila na desturi za WaAfrica wengi tofauti nyingi humalizwa au huanzia kwenye misiba, sherehe na mikusanyiko mingine. Hili wala lisikushangaze. Nitajie chama nchi hii ambacho wanachama na viongozi wake wote wanaelewana nitakupa mji.
 
watu wa ifakara jana usiku walikuwa wanaimba nyimbo zinazomtuhumu mbunge wa jimbo hilo bwana mteketa kuwa ndiye anahusika na kifo cha marehemuu....wengine wamesema wasimuone leo kwenye mazishi
 
watu wa ifakara jana usiku walikuwa wanaimba nyimbo zinazomtuhumu mbunge wa jimbo hilo bwana mteketa kuwa ndiye anahusika na kifo cha marehemuu....wengine wamesema wasimuone leo kwenye mazishi
Kilombero kwa imani za kishirikina ndio wenyewe. Wameambukizwa na ndugu zao wa Ludewa, Makete,...
 
watu wa ifakara jana usiku walikuwa wanaimba nyimbo zinazomtuhumu mbunge wa jimbo hilo bwana mteketa kuwa ndiye anahusika na kifo cha marehemuu....wengine wamesema wasimuone leo kwenye mazishi

Wanaamini uchawi? Kweli maendeleo kwetu lazima yachelewe
 
Ukiingia kichwa kichwa msibani kichapo kinakuwaga kawaida.

binafsi nimewahi kuona kwa macho yangu watoto wakipigana wao kwa wao msibani kabla hata baba yao hajazikwa.....kuhusu hii taarifa kwa kwlei ndo naisoma hapa halafu gazeti hili halijachambua vizuri..limeegemea upande mmoja......nilichosikia kwa masikio yangu ni juu ya a mteketa kuwa wasimuone kwenye mazishi leo...
 
mIMI NI MWANACHAMA NA SHABIKI MKUBWA WA chadema!
lAKINI KIUKWELI MKITI WETU MBOWE AMEFANYA JAMBO LA AIBU!
Bibi kiroboto simshangai,upeo wake unamruhusu kufanya hayo!
 
Kwa suala la ushangiliaji umeweka chumvi mkuu, unajua wanachama wengi wa cdm ni vijana, na vijana wanapenda kuonyesha hisia zao waziwazi, hivyo kusema kuwa waliletwa kwaajili ya kushangilia utakuwa unawakosea adabu cdm.

We unabisha wakati wenyewe wemethbitisha wameletwa kushangilia
 
Jana kuna mdau alinidokeza kutoka Ifakara juu ya mzozo uliotokea,ni kweli mwenyekit aliwekwa rumande,
Pia huyo mdau alinambia kuwa ni kweli Kiwanga hatakiw mazikoni,
Then akasema watu wanasikitika wanadai ni Bora Angekufa Mteketa,coz c chaguo lao,wao wanaamin kuwa Mtema alishnda ila matokeo yalichakachuliwa

mh mbona idad ya kura inamesha alishidwa 2ache ushabik 2we wa kwel mi ninachojua cdm huwa kinachukua wahun kufanya fujo kama walivyofanya igunga
 
watu wa ifakara jana usiku walikuwa wanaimba nyimbo zinazomtuhumu mbunge wa jimbo hilo bwana mteketa kuwa ndiye anahusika na kifo cha marehemuu....wengine wamesema wasimuone leo kwenye mazishi

Kawaida ya Waafrika. Kila kifo kina mchawi wake!!!
 
Eeeeh!nasikia mlitaka kuzipiga kavukavu tena huko ifakara?!!!hivi mwanangu kwanini watu wa CHADEMA wanapenda sana siasa za ugomvi?juzi tumeona picha za jamaa anaedai kumwagiwa tindikali na watu wa chadema,jana tena wenyewe wanakunjana mashati tena msibani..hii aibu sana hii,hiki chama sasa inabidi kitazamwa kwa jicho la tahadahri hasa huko vijijini!mheshimiwa mbowe changamoto hiyo,kisafishe chama anzia matawini..

Makubwa..!!!!! We Mange na siasa wapi na wapi? Ni sawa na mmasai kucheza mdundiko lol..
 
Back
Top Bottom