Msiba wa Regia waibua mazito

Eeeeh!nasikia mlitaka kuzipiga kavukavu tena huko ifakara?!!!hivi mwanangu kwanini watu wa CHADEMA wanapenda sana siasa za ugomvi?juzi tumeona picha za jamaa anaedai kumwagiwa tindikali na watu wa chadema,jana tena wenyewe wanakunjana mashati tena msibani..hii aibu sana hii,hiki chama sasa inabidi kitazamwa kwa jicho la tahadahri hasa huko vijijini!mheshimiwa mbowe changamoto hiyo,kisafishe chama anzia matawini..
 
Haya mkuu Pasco,

Naona umeamua kusimama pale pale kwa style nyengine. Tuendelee na mambo mengine kwakuwa uwanja wa karimjee ni mkubwa na si rahisi kuona ama kushuhudia kila kitu ingawa ni vigumu vitendo vya kushangilia ama kupiga makofi kufanyika kimya kimya.

Wengine tulikuwa tuna move around kwahiyo tulifanikiwa kushuhudia matukio mengi mkuu, au nikwambie nilikuwa pembeni yako wakati unaongea na yule mama nanihino mkuu wa mkoa!! lol

Ndo zake huyo....huwa anaona watu wote humu punguani!

Hiyo paragraf ya mwisho imetulia.
 
[/SIZE]

mkuu maana yangu ipo hapa naoma hii ni aibu kwani ninacho amini msibani huwa tofauti zinaisha kama kuna ulazima zitaanza baada ya msiba kuisha

Inategemea hiyo tofauti ilikuwa kubwa kiwango gani hasa ikihusisha vijana, ila ushauri wangu naomba cdm mkoa na taifa washughulikie hilo jambo mapema tu baada ya msiba kuisha.
 
Eeeeh!nasikia mlitaka kuzipiga kavukavu tena huko ifakara?!!!hivi mwanangu kwanini watu wa CHADEMA wanapenda sana siasa za ugomvi?juzi tumeona picha za jamaa anaedai kumwagiwa tindikali na watu wa chadema,jana tena wenyewe wanakunjana mashati tena msibani..hii aibu sana hii,hiki chama sasa inabidi kitazamwa kwa jicho la tahadahri hasa huko vijijini!mheshimiwa mbowe changamoto hiyo,kisafishe chama anzia matawini..
can you verify the reded
soma makala vizuri acha uvivu wa kupenda kusimuliwa tu

Eeeeh!nasikia mlitaka kuzipiga kavukavu tena huko ifakara?!!!hivi mwanangu kwanini watu wa CHADEMA wanapenda sana siasa za ugomvi?juzi tumeona picha za jamaa anaedai kumwagiwa tindikali na watu wa chadema,jana tena wenyewe wanakunjana mashati tena msibani..hii aibu sana hii,hiki chama sasa inabidi kitazamwa kwa jicho la tahadahri hasa huko vijijini!mheshimiwa mbowe changamoto hiyo,kisafishe chama anzia matawini..

Yule kijana wa igunga si mlimwagia tindikali ninyi wenyewe! kama angekuwa amemwagiwa na mwanachadema sasahivi alishafunguliwa kesi siku nyingi na huenda alishapata hukumu yake. Kwa jinsi mlivyokuwa mkizisaka kura za wanaigunga mlifanya vituko vyote mlivyoweza hadi kuchoma moto nyumba lakini karatasi ya kuwatambulisha chadema kwamba ndio wamechoma nyumba mkasahau kuichoma hivyo ikawaumbua.
 
Inategemea hiyo tofauti ilikuwa kubwa kiwango gani hasa ikihusisha vijana, ila ushauri wangu naomba cdm mkoa na taifa washughulikie hilo jambo mapema tu baada ya msiba kuisha.
yes 100% vinginevyo sumu itazagaa kama unavyo ona akina THE WHITE ELEPHANT wameanza kuropoka
 
Eeeeh!nasikia mlitaka kuzipiga kavukavu tena huko ifakara?!!!hivi mwanangu kwanini watu wa CHADEMA wanapenda sana siasa za ugomvi?juzi tumeona picha za jamaa anaedai kumwagiwa tindikali na watu wa chadema,jana tena wenyewe wanakunjana mashati tena msibani..hii aibu sana hii,hiki chama sasa inabidi kitazamwa kwa jicho la tahadahri hasa huko vijijini!mheshimiwa mbowe changamoto hiyo,kisafishe chama anzia matawini..

Mbona unapenda kukariri mambo bila ya kutafakari? kwa akili yako CHEDAMA wangemmwangia huyo kada wa magamba tindikali wangesalimika? na huko ifakara umesoma walipigana au ilitokea fujo? na unauhakika na huyo mwandishi kama hakuweka hisia zake?
 
Mkuu,

Kutoelewana nadhani kumetokea Ifakara (kama umesoma story hii vyema). Binafsi nilikuwa pale lakini sikuona ugomvi zaidi ya watu kucheka baada ya Kafulila kutajwa kusindikiza msiba.

Ya Ifakara siwezi kuyaongelea, kama ni kweli basi wamekosea kushindwa kuvumiliana wakati wa msiba, tatizo story haiko balanced kiasi hatujaona upande wa pili wakieleza kwanini hawakumtaka kiongozi huyo msibani

Aksante Maxe kwa post hii. Na ndio maana nikasema kuna ya zziada kati ya Mwenyekiti na Marehemu au na familia ya marehemu na usijekuta waliomfukuza si wanachama wa chadema bali ni wanafamilia. haiingii akilini kuwa tofauti za kisiasa tu zitutoe ubinadamu kiasi cha kukatazana kuja kuzika!! Ingekuwa hivyo basi wangewazuia hata wale wanaosemekana kushinda ubunge kwa kuchakachua kura za Marehemu maana hao ndio maadui wakubwa kwa chadema na marehemu mwenyewe!
 
Yule kijana wa igunga si mlimwagia tindikali ninyi wenyewe! kama angekuwa amemwagiwa na mwanachadema sasahivi alishafunguliwa kesi siku nyingi na huenda alishapata hukumu yake. Kwa jinsi mlivyokuwa mkizisaka kura za wanaigunga mlifanya vituko vyote mlivyoweza hadi kuchoma moto nyumba lakini karatasi ya kuwatambulisha chadema kwamba ndio wamechoma nyumba mkasahau kuichoma hivyo ikawaumbua.
Mkuu Mwita wala usisumbuke hao tulishawazoea, vituko vya Igunga hadi kuu mpambanaji wetu wa Dar, kutembea na mapanga kama wapo kwenye mapori ya Serengeti kati kati ya mji bila kuchukuliwa hatua yoyote!!!! Maiti zingine kukutwa nyuma ya Magereza unafikiri hicho ni kitu kidogo, lakini kwa vile ni wao wakawa kimya tuu ikapita!!!!!!!!!!! Ila ndg yangu kulikwa na bifu gani na huyo Bwn Ngozi na viongozi wengine wa CHADEMA hadi waamue kumfukuza msibani????????? Mwenye hizo news atujulishe!!!!

Inawezekana ni ule mvutano uliokuwepo wakati wa kura za maoni katika uchaguzi mkuu wa 2010, ambapo kulikuwa na kambi za Susan Kiwanga, kambi ya marehemu RM (R.I.P)...inasemekana baadae baraza kuu chadema lilimpitisha mtu mwingine aliyesadikiwa kuwa mwanasheria ambaye hakuna mtu ndani ya chadema ngazi za juu aliyemjua na wala hakushiriki kura za maoni, waliletewa jina kwenye bahasha tu. Huenda mgogoro ulianzia hapo.

Hayo washughulike nayo wakati mwingine na sio kwenye msiba. Watu tayari wako kwenye majonzi, hamna haja ya kuongezea drama.
 
Eeeeh!nasikia mlitaka kuzipiga kavukavu tena huko ifakara?!!!hivi mwanangu kwanini watu wa CHADEMA wanapenda sana siasa za ugomvi?juzi tumeona picha za jamaa anaedai kumwagiwa tindikali na watu wa chadema,jana tena wenyewe wanakunjana mashati tena msibani..hii aibu sana hii,hiki chama sasa inabidi kitazamwa kwa jicho la tahadahri hasa huko vijijini!mheshimiwa mbowe changamoto hiyo,kisafishe chama anzia matawini..
Kweli wewe ni WHITE ELEPHANT kama jina lako huna lolote la maana, waliomwagia mtu tindikali nakuchoma nyumba ya mtendaji bado unadai ni CHADEMA tuu, huna aibu!!!!!!!!!!

Ningekuwa na uwezo ningewashughulikia hawa wahuni wanaoleta ujinga wakati huu wa msiba.....@#%%^^&&** zao!!
 
Inawezekana ni ule mvutano uliokuwepo wakati wa kura za maoni katika uchaguzi mkuu wa 2010, ambapo kulikuwa na kambi za Susan Kiwanga, kambi ya marehemu RM (R.I.P)...inasemekana baadae baraza kuu chadema lilimpitisha mtu mwingine aliyesadikiwa kuwa mwanasheria ambaye hakuna mtu ndani ya chadema ngazi za juu aliyemjua na wala hakushiriki kura za maoni, waliletewa jina kwenye bahasha tu. Huenda mgogoro ulianzia hapo.
Nawambiaga Bunge letu ni kubwa sana bila sababu kwa sababu ya muundo wake wa sasa. Regia alinijibu kwenye ile thread yake ya mwisho kuwa Kilombero peke yake ina Wabunge wanne( kabla ya yeye kufariki tarehe 14 mwezi huu). Pamoja na yeye yupo Suzan, Mchungaji Rwakatare na tapeli Mteketa. Tunaigharamia sana SIASA.
 
JAN USIKU IFAKARA HALI ILIKUWA HIVI KATIKA KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU.....MAELFU WAJITOKEZA

Back
Top Bottom