Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Pole sana sweetie! Mipango ya Mungu haina makosa!Pole sana dear...
Aliniambia jinsi ulivyokuwa unaenda
Kumuona mara kwa mara, jinsi mlivyokuwa
Mnacheka, na pale ulipofikisha ile michango
Ya wana JF..
Mara ya mwisho nlivyoongea nae aliniambia
Afadhali hajavimba mdomo ili aweze
kupiga porojo na kutuchekesha.. na aliniambia nisimuonee huruma bali nimuombee na niwe na imani..
Kwa kweli Abbasi alikuwa kijana wa aina yaki
Pekee.. na nimejifunza mengi kutoka kwake.
I will miss you my dear friend ..