Msiba wa halima mchuka hauna nafasi tbc

mfarisayo

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
5,160
2,001
inasikitisha sana kwa nini TBC hawajaona umuhimu wa kutangaza taarifa msiba wa halima mchuka badala yake wameanza na habari nyingine tu
 
mmesikiza asbh,mchana na saa kumi? binafsi nimesikiza mchana walitangaza na baada ya taarifa ya habari mchana saa 7 wanakipindi chao walichukua takribani dk 6 hivi za mwanzo wa kipindi kumzungumzia,labda kitu ambacho sijakisikia ni kuweka walau sauti yake ya baadhi ya vipindi vyake alivowahi kutangaza hata basi kile cha jana mchana alipotangaza kwa mara ya mwisho salamu za mchana kupitia TBC.
 
inasikitisha sana kwa nini TBC hawajaona umuhimu wa kutangaza taarifa msiba wa halima mchuka badala yake wameanza na habari nyingine tu

Kama ilipewa kipaumbele awal sasa hawawez kufanya hvyo,alibahatika Nyerere tu kwan kila taarifa yeye ali appear the first.
 
Back
Top Bottom