Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

Mwandosya mnafiki mkubwa itasaidia nini wakati watoto kinda kabisa hakukuwa na sababu ya baba yao kunyang'anywa uhai wake,watoto wanamuhitaji baba yao
Unafiki uko wapi hapo kama huna jema la kusema kaa kimya
 
Ina huzuni inaleta uchungu inatia hasira pia, kijana wa watu Daudi hukuwa na kosa bali wadhalimu wamekuua.Rab akulaze mahali pema,AMINA
 
RIP. D. Mwangosi! Bwana alitoa Kikwete na serikali yake wakatwaa mwili wako ila ROHO YAKO ITAISHI MILELE. The day will come all of us will sit at the judgement court and that day everyone will be sentensed accordingly. Kwa heri mdogo wangu.
 
R.I.P Comrade Mwangosi.. Itanichukua Muda Kukusahau!.. Pengine miaka kadhaa!.. Pumzika kwa amani; Nami nitakuja kwa nafasi yangu ilivyopangwa.
 
mkuu tunashukuru sana kwa kuutendea haki uzi uliouanzisha ,uliahidi UPDATES,,umetoa updates kwa wakati! natoa rai kwa wengine kuiga mfano wako. RIP Daud mwangosi
 
Anayesema hii serikali ni sikivu na ajitokeze mbele,
anayesema polisi hawana double standards na anyooshe mkono,
anayesema Tanzania kuna uhuru wa habari na aseme sasa,
anayedhani polisi hawajatumwa na atupe maelezo ya kutosha.

Hii kitu inauma,.
ANAYESEMA TANZANIA NI NCHI YA AMANI NA AONGEE SASA!

Umenena vyema!
 



Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa





Inauma sana ninapotazama mke wa marehemu na watoto. Sasa wamebaki bila ya msaada na mwongozo toka kwa Marehemu Mwangosi. Ni lini SERIKALI hii itajifunza kutoumiza wananchi wake kwa sababu zisizo za msingi?
 
jk sijamuona..au mpaka afe ray au lulu?

Mbeya angeenda leo angepigwa mawe, bora hakwenda maana jamaa wana hasira nae sana kule, nahisi ndio maana hata kandoro ameshindwa kwenda, na hata mwakilishi wa jeshi la wauwaji nae sijamwona. chezea mbeya wewe?
 
Nimeshindwa hata kusema neno ila hii serikali ya ccm tuing'oe mapema ikiwezekana sasa hivi, hivi mungu kwanini hakumchukua jumla jk alivyoanguka jukwaani kipindi kile?. Rip kamanda mwangosi
 
KAZI NZURI MKUU BWANAALITOA NA BWANA AMETWAA JINA BWANA LIHIMIDIWE. JE HAYA NI MAPENZI KWELI YA MUNGU AU POLICCM

  • :flypig:

  • :sleepy:
 
Kama mpenda amani bila kujali itikadi yako, tujiulize sisi watanzania nchi yetu inaelekea wapi? kweli hali hii inatisha tulianza na komredi Ulimboka, ikaja ya Ally leo daudi inawezekana kesho nikawa mimi au wewe mtanzania mwenzangu.

Lakini cha kushangaza watu tuliowapa kushika dola wanatoa majibu mepesi sana kwa maswali magumu. Najiuliza kwa nini Dr Nchimbi na said mwema still they are holding public office till today kama kweli they are responsible to we citizens?
 
Back
Top Bottom