Mshoga wa facebook

Mishobok

Member
Dec 1, 2011
5
1
Kwa sasa Facebook imejaa mashoga wa kiume hali inayotia kichefuchefu kabisa .. utakuta wanawasiliana na wewe kama rafiki wa kawaida baada ya siku mbili utasikia nina hamu kweli ... ukiuliza hamu ya nini?... anakutumia picha za wanaume wanakamua tigo
then anakwambia yani kaka nakupenda sana ...inakera ...
 
achana naye huyo(mblock) anayekusumbua we deal na wale unaowajua tu. Nalog off
 
mkuu nipe jina lake fasta na watafuta sana hao viumbe...sawa mkuu fanya fasta :poa
 
Mishobok - Pole Sana.
My number 1 rule on FB is "ALWAYS ADD THE PEOPLE YOU KNOW, RESTRICT YOUR PROFILE TO FRIENDS ONLY"..Usikubali kum-add mtu kama rafiki iwapo hufahamiani nae...matokeo yake ndio hayo!
 
achana naye huyo(mblock) anayekusumbua we deal na wale unaowajua tu. Nalog off

ushauri mzuri mzur washa, hata mimi huwa nasita sana ku-accept request za nisiowafahamu. Hata ni mvivu wa ku-add hovyo...
 
Wengine humu ni unafiki tu kutwa nzima unashinda fb uki-chat walete post ya kuponda fb na wewe uanze mbwembwe za ajabu hapa.,wanafiki wote walaaniwe.
 
Back
Top Bottom