Mshiriki wa Tanzania BBA hana uzalendo

Duh yaani michezo ya kipashkuna na ngono zembe ndio ibebe national interest?..guyz take chill pill kidogo.

Mkuu akishinda mmoja wapo utasikia tu ni sera nzuri za CCM kuinua vipaji katika michezo na mshiriki atapelekwa bungeni kutambulisha kisha Ikulu kupiga picha na rais we subili.
 
Si wako kwenye bifu la kugombea uume huko mjengoni? Ndicho mlichowatuma
image.png
 
Wacha watoke wote hao madada wakiko kikazi zaidi kuliko kustarehesha so wanaoneana wivu ..we unaona mwenzio amenyonywa na wewe unaenda hapo hapo kunyonywa domo lako hao akuna tofauti na wale wa afrikasana si waje tu wawape raha watanzania..jamani
 
JUST A GAME................... Mwisho wa siku atapatikana mshindi mmoja. By the way.........naye ni mmoja kati ya washindani wake, hivyo kama ana mambo ambayo ni threat kwake basi yuko sahihi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom