Mshikaji vipi...............

mambo kama haya nilikuwa nayaona miaka ile ya madisko toto kumbe bado yapo kweli nimezeeka. Huyo demu ni macho juu achana nae halafu una aka ngapi mtu wangu? haya mambo naona kama ya ma-teenager

Mimi sio teen..............and neither is the guy.....ila nielewe sikuwa na mpango huo ila kiukweli ni kuwa nahisi huyo demu ndiye mwenye matatizo maana na nikufuata ushauri wa most of the comment's inaonekana ni bora tuu ni tupilie mbali hili swala since at the end of the day hakuna lolote na vuna katika hili......ila namba nitampatia who cares......ila mind you hii ni A City
 
achana na mademu unaokutana nao club au ulabuni.. in short acha naye anakupoteza tu
 
oyaaa..dogo acha hizo weweeee...DEMU ANATAKA..wewe unaleta story ohh nishaurini ohhh sijui nini...wewe umejuaje kama basha wake hamkuni ipasavyo n she nid ur msaada?....

basha wake naye ana-za kizamaaaaaani mpaka basi.... mwambie amchunge mbwa wake wewe hukumpigia mluzi kakufuata mwenyewe...na mwisho wa siku hakikisha unamtafuta kwa mbinu zako zote za kigaidi/kiume zaidi na ummege huyo shorty kwa mitindo yoooteee...


ila kama unaogopa battle la basha wake ni-pm namba ya shorty mie nijitoe muhanga...mind you...shorty mwenyewe inabidi awe above standards coz am a man of my own standards....natumai dogo umenielewa bro wako..sawasawaaaaa?


Waahhhh!!!!!!!
 
Wewe ni sitaki nataka. Unajifanya hutaki kumbe unaumia kimoyo moyo. La msingi, kama humtaki kata mawasiliano yote.

"DICK" mimi nimependa jina lako, habariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,:biggrin1:
 
Kuna siku niliamua let me treat my self out....nikaenda club....sasa kufika club nikamwona mrembo moja mzuri...nikawa namtizama nahisi akawa na yeye kimpango wake amevutwa akaja dancing floor kucheza karibu kabisa na nilipo simama, amecheza kama dakika 15 hivi tena anacheza ile sexy style nikawa puzzled na the way anacheza.....nikaamua kumjoin dancing floor....sasa kumbe alikuwa na mshikaji wake that day....alichofanya akanipa tu her number mi nikaona ipo pouwa.....sasa the next day nikampigia tukaongea kumbe yupo na jamaa nikaona isiwe tabu nikatosa..... another weekend nikaenda club tena then ghafla nikamuona nikampa pini.....sasa nipo na jamaa zangu sehemu tumesimama tunacheki dancing floor kaja nilipokuwa nimesimama kanipa hug na kisses washikaji wakawa puzzled kama nilivyo mimi akaenda zake....later kanifuata niliposimama anaanza kucheza huku ananitizama naona ananiomba nicheze naye nikamwambia wala akaja kunifuata nashangaa mshikaji wake kanifuata eti mbona vile tena nikamwambia muulize mwanamke wako.....jamaa akaondoka demu hataki kuondoka nikahama pale....sasa akaniambia nipigie kesho mchana nimempigia kesho yake ananipa mchongo wa kuonana nikamwambia hilo weka kapuni siwezi staki ugomvi at all na mie najijua ni mkorofi kiasi sitaki....sasa nashangaa leo jamaa kanipigia eti oooh sitaki mazoe na demu wangu nashangaa kulikoniii Mshikaji vipi.....mawazo please
jamaa alipateje namba yako?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Back
Top Bottom