mshenga mzoefu anahtajika

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,091
618
wadau nahtaji mshenga mwenye uzoefu wa kuweza kumbadilisha MENTION= Elizabeth dominic MENTION.nimetumia uzoefu wangu kwakila hali nimekwama lakini bado nampenda na namuhtaji.atakayeweza kufanikisha zoezi hilo atapata donge nono.

Wenu ...............m.........
 
wadau nahtaji mshenga mwenye
uzoefu wa kuweza kumbadilisha MENTION= Elizabeth dominic
MENTION.nimetumia uzoefu wangu kwakila hali nimekwama lakini bado
nampenda na namuhtaji.atakayeweza kufanikisha zoezi hilo atapata donge
nono.

Wenu ...............m.........

pole kwa crush mkuu bt nilishakwambia uzungumze na Madame B atakusapot.....
 
Last edited by a moderator:
nilivyoona neno mshenga nikajua ushafanikiwa kumweka Eliza kwenye ufalme wako...nadhani unahitaji kuwadi
 
Nilijua unataka mshenga wa kutuma ukweni kumba wa kutongoza.

Nilitaka kukupa contacts za mzee mmoja alwatan pale Sinza.
 
wadau nahtaji mshenga mwenye uzoefu wa kuweza kumbadilisha MENTION= Elizabeth dominic MENTION.nimetumia uzoefu wangu kwakila hali nimekwama lakini bado nampenda na namuhtaji.atakayeweza kufanikisha zoezi hilo atapata donge nono.

Wenu ...............m.........

Anagoma kuvua?
 
Back
Top Bottom