mwenzenu sikufatilia mkutano wa chadema lakini kwa hamu nikasubiri TBC 1 itujuze yaliyojiri kwa mshangao ulipofika wakati wa magazeti yule mdada alianza na habari gazeti la chama,mzalendo na habari za shibuda kukandya upinzani na eti dr slaa kutaka kuachia ngazi kisha akapapasa kidogo mkutano wa chadema na nilivyomwona hakuwa na raha kabisa kutaja juu ya mkutano huo mkubwa hivohivo na taarifa ya habari,sasa nauliza sisi watz tulio mbali na uwezekano wa kupata habari tuamini lipi, ukweli mchungu?au maagizo fulani.jamani muwe mnatuhabarisha yaliyojiri kiukweli.nawasilisha