Mshangao: TBC chombo cha watanzania?

Eyoma

Senior Member
Sep 9, 2011
166
40
mwenzenu sikufatilia mkutano wa chadema lakini kwa hamu nikasubiri TBC 1 itujuze yaliyojiri kwa mshangao ulipofika wakati wa magazeti yule mdada alianza na habari gazeti la chama,mzalendo na habari za shibuda kukandya upinzani na eti dr slaa kutaka kuachia ngazi kisha akapapasa kidogo mkutano wa chadema na nilivyomwona hakuwa na raha kabisa kutaja juu ya mkutano huo mkubwa hivohivo na taarifa ya habari,sasa nauliza sisi watz tulio mbali na uwezekano wa kupata habari tuamini lipi, ukweli mchungu?au maagizo fulani.jamani muwe mnatuhabarisha yaliyojiri kiukweli.nawasilisha
 
Hakika tutakumbuka sana kipindi kifupi sana alichokaa tido muhando kwan tbc1 ilianza kuwa na sura ya kitaifa na sio sasa ambapo habari zao kuu ni propaganda za magamba,kwa sasa n kero 2
 
Kauli mbiu ya "Ukweli na uhakika" ameondoka nayo Tido Mhando!
mwenzenu sikufatilia mkutano wa chadema lakini kwa hamu nikasubiri TBC 1 itujuze yaliyojiri kwa mshangao ulipofika wakati wa magazeti yule mdada alianza na habari gazeti la chama,mzalendo na habari za shibuda kukandya upinzani na eti dr slaa kutaka kuachia ngazi kisha akapapasa kidogo mkutano wa chadema na nilivyomwona hakuwa na raha kabisa kutaja juu ya mkutano huo mkubwa hivohivo na taarifa ya habari,sasa nauliza sisi watz tulio mbali na uwezekano wa kupata habari tuamini lipi, ukweli mchungu?au maagizo fulani.jamani muwe mnatuhabarisha yaliyojiri kiukweli.nawasilisha
 
Pole sana ndugu yangu hiyo niliwahi kushuhudia siku moja asubuhi wakati usomaji wa magazeti.,,,, mambo yaliyohusu cdm msomaji wakati wa magazeti hasomi kabisa,,,,,,,, ..... TBC ni wakati wa tido mhando sasa hivi labda uwaombe wakurushie live send off yako kitchen party na vikao vya harusi maana imepoteza mwelekeo haina tija kwa taifa,,,,,, lakini usiwalaumu huenda wanapewa maelekezo na walioko magogoni.
 
Ningekuwa na uwezo ningehamasisha watu wote wenye uzalendo na nchi hiii kuacha kabisa kuangalia TBCCM. Nao pia ni mafisadi kwani hulipwa kwa kodi za wavuja jasho lakini wao wanajiingiza au kutumiwa na magamba. washenzi wakubwa kuanzia mkurugenzi wa TBC mpaka wafagiaji wote makalio yao.
 
Ni kweli siyo mkila aliyeko chadema ana akili wengine ni mashabiki tuwahana lolote kama wewe uliyeleta mada hii, mnaniudhi mnapokuwa mnalalamika kwa sana kama huna cha kuandika si uache tu. Mimi mwenyewe nimeangalia TV asubuhi magazeti yamesomwa yote aliyopelekewa sasa ulitaka atoe kichwani mambo ya chedema, Kwa hiyo chombo chochote kisipo itaja chadema hakijatenda haki siyo. Kweli nimekubali kuna rafiki yangu mmoja mtaliano aliyewahi kufanya kazi Tanzania alisema watanzania mnapenda sana kulalamika na kusubili mafanikio bila kufanya kazi mtaendelea kuwa masikini tu. Sasa kama wewe kazi hufanyi kila siku chadema, chadema.
 
Una dalili za kifaduro, imeambatana na homa ya uti wa mgongo, dalili zake ni pamoja na kuuchukia ukweli, kufoka na kupungukiwa na msamiati!!!!!!
 
hakuna mtu wa Kasulu hapa atume radi ya sh 20 ipige minara yao?
tunalalamika nini wkt wana anga wapo jamani tumieni hizo nyungo kuitoa hewani
majumbani kwenu unapofanya searching unaweza kuiskip ili usipate pressure.
 
-ushaona habari yoyote ya vurugu za huko zenji zikia znatangazwa na tbc?zaid ya kuweka zile nyimbo za taarabu za wapemba|?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom