Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,225
- 232
Huenda ni nyongeza ya mshahara ya 100%.....!!!
Unamwambia nani? Mimi si mhusika.Mimi tu kuwaletea habari...Nenda bar kaponde zote,chukua totos mbili ukijivinjari,mwezi ujao mshahara usipoingia urudi humu JF ulalamike.Tena usisahau kumlaumu Rais.wako wengi watakao kusupport kwenye malalamiko yako.
Uko Makao Makuu hapo CMA? Waulize wenzako...
Bora kula leo ya Octoba itajijuHiyo si neema, kisheria pesa hizo sio zako kwa kuwa tu zimeingia kwenye account yako, hawatalipwa mwezi ujao.
Kwa hio unatushauri tuirudishe au tuitumie taratibu tukijua kuwa mwezi ujao hakuna kituKama mwajiri akikulipa mshahara ambao usingetakiwa kulipwa na ilikuwa ni makosa yake ambayo anayakubali, anayo haki ya kudai hayo malipo. Vinginevyo, kuna uwezekano wa hao waliolipwa mara mbili wasipate mshahara wa mwezi ujao kwa vile walilipwa mara mbili mwezi uliopita. Hakuna cha kuchekelea hapo. Spend your money wisely.
Kwa hio unatushauri tuirudishe au tuitumie taratibu tukijua kuwa mwezi ujao hakuna kitu
Wewe mwenyewe unajua rohoni mwako kuwa siyo pesa yako halali. Hujaifanyia kazi hiyo pesa. It is money paid to you by mistake. Kwa mtu ambaye ni honest na anayeipenda nchi yake atapenda kumwuliza mwajiri wake kwa nini amewekewa mshahara mara mbili. Lakini kwa bongo sidhani ni nani atakayefanya hivyo. Watu choka mbaya na mtu akipata tuu nafasi ya kufisadi lazima afisadi.
Lakini nimeshashughudia watu waliwekewa ngororo (siku hizi wanaita boom) mara mbili kwenye account zao, term iliyofuata hawakuwekewa kitu na kwa stahili ya kibongo hawakupewa hata maelezo kwa nini hawakuwekewa pesa. So, kama wahusika wametambua kosa lao lazima wata-rectify mwezi ujao.