MSHAHARA waingizwa Mara mbili...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Katika kile kinachoonekana kama uzembe wa wahusika, mshahara wa Watumishi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi almaarufu kama CMA wameingiziwa mishahara yao mara mbilimbili.

Ni neema kwao lakini ni fedheha kwa Serikali. Watumishi wengi wa Tume hiyo tayari wameshatoa kiasi kilichozidi.

Ikumbukwe kuwa watumishi wa Taasisi nyingine za Serikali hadi leo hawajapata mishahara yao.

Ni taarifa rasmi hizi. Si tetesi...
 
Lazima wazitoe sasa waziache za nini tena wakati wamepewa za bure??
 
Kama mwajiri akikulipa mshahara ambao usingetakiwa kulipwa na ilikuwa ni makosa yake ambayo anayakubali, anayo haki ya kudai hayo malipo. Vinginevyo, kuna uwezekano wa hao waliolipwa mara mbili wasipate mshahara wa mwezi ujao kwa vile walilipwa mara mbili mwezi uliopita. Hakuna cha kuchekelea hapo. Spend your money wisely.
 
Mi nadhani hawajakosea kuwekewa mishahara miwili. Hiyo ndiyo haki yao na inabidi iendelee hivyohivyo.
 
Hiyo ni mishahara ya October.Serikali sikivu imeamua kulipa inadvance maana kelele za kuchelewesha mishahara zimezidi.
 
Hapo sasa ndo tuone kwamba tunahitaji MAPINDUZI katika kusimamia MAGEUZI ya mifumo yetu mbali mbali
 
Kuna jamaa aliwekewa boom amount ilikuwa double akamshukuru mwenyezi Mungu kwa kusikia sala zake na kuanza kujirusha kwa sana tu.Boom la pili hakuwekewa na alikuwa ameshamalza kulitumia lile boom la mwanzo,aisee alipata tabu.Hata nyie mliowekewa mshahara double angalieni itakula kwenu
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kuna kukatwa next month so kulen bata now bt next mtafulia,au lilikuwa dil la wa2 nn ?coz kwa tz hii yote yanawezekana!
 
Katika kile kinachoonekana kama uzembe wa wahusika, mshahara wa Watumishi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi almaarufu kama CMA wameingiziwa mishahara yao mara mbilimbili.

Ni neema kwao lakini ni fedheha kwa Serikali. Watumishi wengi wa Tume hiyo tayari wameshatoa kiasi kilichozidi.

Ikumbukwe kuwa watumishi wa Taasisi nyingine za Serikali hadi leo hawajapata mishahara yao.

Ni taarifa rasmi hizi. Si tetesi...

si niliskia kuna matatizo ya mfumo mpya wa computer hazina?
Ndomana hata watumishi wengine wamecheleweshewa mishahara?
 
Nenda bar kaponde zote,chukua totos mbili ukijivinjari,mwezi ujao mshahara usipoingia urudi humu JF ulalamike.Tena usisahau kumlaumu Rais.wako wengi watakao kusupport kwenye malalamiko yako.
 
Hiyo si neema, kisheria pesa hizo sio zako kwa kuwa tu zimeingia kwenye account yako, hawatalipwa mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom