Mshahara wa polisi na walimu laki 2 kwa mwezi, sisi BMK tunapiga laki 3 kwa siku

piga hesabu ya mshahara wa Slaa kwa mwezi na kwa miaka aliyotumika kama kaibu mkuu,utakuta ya bunge la katiba cha mtoto,we acha bana siasa inalipa tz,wajinga ni wewe na wengine mnaoangalia upande mmoja wa shilingi

Analipwa na serikali au umeamua kuwalisha kasa watu.
 
Ni dhahiri shahiri kwamba wajinga ndio waliwao, na cha mjinga siku zote huliwa na mwerevu. Na mnyamwezi mpe furushi kubwaa, yeye atabeba tu hata kama lina misumari. ... Napenda kupongeza upole na ustaarabu wa watanzania kwa kuvumilia jinsi maoni yao yanavyotupwa na chama twawala.!.! Kwakweli hili ni jambo la kujivunia sana kwasababu ingekuwa ni nchi nyingine kama kenya, rwanda nk pasingekalika kwani watu wa huko wanajielewa.. Hahahaaa,

kweli nimekubali kwamba tanzania ni nchi ya amani, watu wanapiga hela wanavyotaka, kweli wajinga ndio waliwao... Mbaya zaidi, kodi zetu zinawalipa wahuni wachache wanaotengeneza katiba ya chama chao, laki 3 per day?? Mama yangu wee.! Wakati mimi polis wanaenitumia kuzima maandamano napata laki 2 tena kwa mwezi.! Mimi mwalimu nakula chaki mpaka ubongo umeganda napata laki 2 kwa mwezi? Duuuh.! Kweli wajinga ndio waliwao.!!

naamini we ni muha kulingana na Username yako na waha ni warundi kiasili ,haya tuambie solution ya hili nini?
 
Ni dhahiri shahiri kwamba wajinga ndio waliwao, na cha mjinga siku zote huliwa na mwerevu. Na mnyamwezi mpe furushi kubwaa, yeye atabeba tu hata kama lina misumari. ... Napenda kupongeza upole na ustaarabu wa watanzania kwa kuvumilia jinsi maoni yao yanavyotupwa na chama twawala.!.! Kwakweli hili ni jambo la kujivunia sana kwasababu ingekuwa ni nchi nyingine kama kenya, rwanda nk pasingekalika kwani watu wa huko wanajielewa.. Hahahaaa,

kweli nimekubali kwamba tanzania ni nchi ya amani, watu wanapiga hela wanavyotaka, kweli wajinga ndio waliwao... Mbaya zaidi, kodi zetu zinawalipa wahuni wachache wanaotengeneza katiba ya chama chao, laki 3 per day?? Mama yangu wee.! Wakati mimi polis wanaenitumia kuzima maandamano napata laki 2 tena kwa mwezi.! Mimi mwalimu nakula chaki mpaka ubongo umeganda napata laki 2 kwa mwezi? Duuuh.! Kweli wajinga ndio waliwao.!!

mkuu mimi uwezo wangu wakupambanua mdogo sana maana umezunguka sana sijaelewa hapo wajinga ni wakina nani?.
 
Hii ndio reality ya maisha ya mtanzania. Jamaa yangu mmoja amegraduate pale UD alianza na 300K kwa mwezi, privates nao sidhani wanafika 400K, polisi pia sidhani wanafika 400K, na hawa ndio wanaofanya kazi kuliko group lingine katika nchi lakini Kuna watu wanaongeza sifuri tu..
 
Kazini cku 2 cku zingne 3 kwenye mishe zangu ila huko tusigusane kabsaa atakayenilazimisha kufanya kaz za watawala ni halali yang!
 
Mshahara analipwa na mama yako? Pambavu wee, hiyo ni kodi yetu kama inayoliwa kwenye bunge, akili ya msokoto na kiroba siku zote ni za robot unangoja fulani aseme ndio iingie akilini
shikirisha hako kaubongo kako Dr. Slaa yupo Bungeni? Intarahamwe ni intarahamwe tu
 
Mbona mwalumbana tena wana? Hoja ni nzuri tu na inakuamsheni mliolala hasa polisi na baadhi ya walimu. Ni kweli mnafanya kazi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kiwango kidogo mno cha mshahara. Tusidanganyane humu ya kuwa wewe ni mwl. wa upe au div. V na una mshahara mkubwa. Huyu mwl grade 3a baada ya makato ya mshahara anabaki na sh.247,000/-. Kwa polisi ni pungufu. Acheni kupotosha kwani posho ya siku kwa mjumbe wa bkt ni mshahara wa mtu kwa mwezi na chenji inabaki kwa mwajiri! Kataeni unyonyaji na ubadhirifu huu bila kujali itikadi zenu.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamii ya Tanzania itaendea kula ukoko wakati wanatuongoza wako na pizza bia mkate
 
Tangu enzi za ukoloni maaskari polis walitumika vibaya kwa ujira kidogo. Nakumbuka walivalishwa sox bila viatu na wao kukamata wasiolipa kodi wanshinda juani bila kulipwa chochote
 
umekosea hizo ni kabla ya makato,baada ya makato takehome ni48500.80/=

mwlimu wa Bachelor anayeanza kazi ni elfu ishirini na sita baada ya makato

Wapo wajinga wenzenu wataamini huu ujinga wenu mliondika.mxuuuu hata wakipokea elfu 8 inawahusu??
 
Baba yangu yupo hapo dom anatunga katiba ni mbunge mstaafu wa Sumbawanga,ngoja kesho nimpige mzinga. Hadi wenye nchi wastuke sio leo. Watu wetu bado sana,hawako tayari kwa mabadiliko,,,Tehe tehe tehe.
Watanzania watu safi sana aisee. Cheers,,mahindi yao huku Sumbawanga ni takataka,wanalisha mbuzi hakuna soko.
mh Sita akimaliza atakunja 150m maisha yanasonga.
tehe tehe tehe,,safi sana aisee.
 
..... Wewe Siyo Mwalimu, Inawezekana Uko Benki Kuu, Na Kama Ni Mwalimu Hujajitambua Bado. Au Inawezekana Ni Mwalimu Wa Upe.!

hakuna mwalimu anaelipwa laki 2 kwa mwez!acha unafiki kijana!hata hivyo,kwan anacholipwa slaa na mbowe ndicho unacholipwa wewe?
 
Back
Top Bottom