Mshahara wa mtu mwenye master degreee......msaada plse!

Kwa kawaida inatakiwa uongezewe hiyo incrememt mara unapopeleka transcript. Miaka mitatu utakuwa unaenda daraja lingine

Hua inachikua muda huo hata zaidi maana ma afisa utumishi serikalini hujiona ka miungu mtu,wanakimbizana tu na posho inshort hakuna uwajibikaji.
 
Hua inachikua muda huo hata zaidi maana ma afisa utumishi serikalini hujiona ka miungu mtu,wanakimbizana tu na posho inshort hakuna uwajibikaji.
Ha ha ha pole sana Mkuu, wengine hatuko hivo, bado kuna watu tuko clean Mkuu
 
Kwa kawaida inatakiwa uongezewe hiyo incrememt mara unapopeleka transcript. Miaka mitatu utakuwa unaenda daraja lingine

Mkuu kwenye ground hakuko hivyo hizo ni sheria tu. Niliamua kuacha kazi ya Ualimu kutokana na mambo kama haya. nilipoenda ku upgrade kutoka kwenye certificate to diploma nilikaa miaka mitatu bila kupandishwa huo mshahara wala daraja. kama ni barua niliandika hadi nikamaliza rim Paper hakuna kitu, ndipo nilipoamua kuchepuka na kusomea degree ya vitu tofauti na kuachana nao Ualimu. Kuna rafiki zangu wali upgrade kutoka certificate direct to bachelor, tokea wamemaliza mwaka juzi mpaka sasa wanalipwa mshahara wa TGTS C na wamechoka kuandika hizo barua za kupanda vyeo. Tatizo la Idara ya elimu bado wanafanya mambo ki local sana yaani unaenda wilayani Afisa elimu hana Data Base ya walimu wake ndo maana unakuta hadi waliofariki wanapanda madaraja, mie tokea nimeacha kazi ya ualimu ni miaka mitano sasa lakin nasikia mwaka jana jina langu lilikuwemo kati ya watu waliopanda daraja
 
si ndio wafanyakazi hewa wanapopatikana hapo? sasa mshahara wako sijui nani anachukua maana kumbukumbu kuwa ulisha-sepa hakuna.
 
Hivi Bosi wako ndio anatakiwa aangalie vitu hivyo vilivyosemwa au Idara ya rasilimali watu? Kama upo na supervisor wako miaka mitatu na haangalii yote hayo Tatizo hasa linakuwa wapi na vipi twaweza litatua?
 
Idara nyingi za serikali hazina matumizi ya elimu ya uzamili (Masters). Hebu fikiria kwa mfano, mwalimu mwenye Masters anakazi ipi katika shule zetu zilizochini ya Wizara ya Elimu na Utamaduni?

Mfano mwingine ni kwa Jeshi la Polisi. Vijana wengi wenye elimu ya shahada walikimbilia kujiunga na jeshi la polisi. Wengi wao wamekimbia kwa kisingizio cha job mismatch. Polisi ni kazi za kutumwa tumwa tu. Mwenye shahada anajikuta akitumwa kulinda vipenyo vya misafara ya ama mke wa rais au mtoto wa rais.

Ila ni muhimu kuwa na elimu hiyo kwako binafsi.
 
Ukimaliza level ya Masters unaongeezewa increment 2 tu, yaani ongeza 9000 mara mbili kwenye basic salary yako unayopata kutokana na Bachelor. Katika utumishi wa kawaida wa serikali ukiondoa vyuo vikuu, Masters degree ina faida baada ya miak 12 ambapo utapanda hadi TGTS H. Aidha itakuwezesha pia kuteuliwa kushika nafasi kama vile Afisa Elimu (W), Mkoa na/ au Ukurugenzi wizara au ukuu wa idara nyingine serikalini. Hakuna sheria au kawaida ya kupandishwa daraja baada ya kusoma Masters. That's all

kwani kwd mwenye digrii anaishia wapi? si hapo hapo TGTS H au?. cjaelewa faida ya ma baaada ya miaka 12 itakuwaje. ufafanuzi kdg mkuu
 
Waheshimiwa wana JF,

Kwa yeyote anayefahamu naomba anifahamishe hili jambo:

1.Ukiwa mwajiriwa wa serikali kwa level ya bachelor degree(B.Ed) as Education officer II, then ukapata promotion ya kuwa Education Officer I (I mean baada ya kufanya kazi kwa miaka 3), na baadae ukajiendeleza kimasomo na hatimaye kuwa na Master degree on the similar field/education:-

(a) JE KWA SHERIA ZA KAZI ZA UTUMISHI SERIKALINI/ UALIMU NI DARAJA GANI NINASTAHILI KUPANDISHWA?(Promotion) mfano: TGTSF? TGTSG? au TGTSH?

(b) Kutokana na sheria za utumishi serikalini, ni kiasi gani cha mshahara huwa anaanza kulipwa mfanyakazi mwenye elimu ya UZAMILI (Master degree), I mean kianzio cha mshahara - basic salary? huku ukitambua kuwa wa bachelor degree anaanza na TGSD1 au TGTSD1 kwa ngazi ya shahada (bachelor) , je vipi kuhusu wa master degree?

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanaJF.

MASTERS ya EDUCATION hakuna jipya ileile 589,000/ mpaka 850,000/ kwa kada nyingine ni posho hii 589
 
Back
Top Bottom