Mshahara wa Mtoto wa mkulima Sh ngapi jamani?

piga kaz acha majungu!, unajua mshahara wa commisioner wa tra wewe?, wa gavana wa bot je?, wa kwako (ukilinganisha na yule mama anaefagia barabarani dar) je?!, usichungulie mifuko ya watu utakua mwizi

Hoja Hapa sio kuangalia mshahara sh ngapi...
hoja kubwa kabisa ni kuangalia huyu mfanyakazi wa ikulu kwa miaka 25(LL.B) na bado akawa waziri kisha waziri mkuu ANAPOSEMA ETI KWENYE BANK ANAYO MILL 25 HUKU AKIWA NA NYUMBA MBILI. Hivyo vyote hata mimi nakidhi bila tatizo...

HOJA KUU:
MTOTO WA MKULIMA NI MUONGO KUZIDI HATA JK ALIVYO... NA KWAMWE TUSIWEWESEKE NA WATU WAONGO... KAMA UNAZO MALI WEE SEMA TUU WATU TUJUE KWA WADHIFA WAKO UNAYO KILA SABABU YA KUWA TAJIRI (LAKINI SIO WA "KUPINDUKIA")
 
Nikianza na Waziri, mshahara wake ni sh. 2 .8 milion kabla ya kodi! posho ya ziada ni sh. 415,000 kwa ajili ya simu, umeme na maji kwa mwezi ambayo wenyewe huita utilities! PM mshahara wake hauzidi 5.5 kabla ya makato ya kodi, kwa bahati mbaya au nzuri yeye hapewi utilities kwa kuwa vyote hivyo vinakuwa taken care na Govt. Mawaziri wote including PM hawapewi mshahara wa ubunge kwa kuwa Tanzania ni marufuku kupokea mishahara miwili. Isipokuwa watu hawa wanapata sitting allowance na posho ya jimbo kwa ajili ya kuwalipa wasaidizi wao majimboni na makatibu muhtasi wao wa huko majimboni. Kwa maneno mengine Waziri wa kawaida hafikii mshahara wa Spika, AG na Chief Sekretari ambao wanapata 4.7 kabla ya makato. Kumbuka kuwa mawaziri hawa hawana bima ya afya kama walivyo wafanyakazi wengine wa Govt. khusu Kamishna wa TRA huyu anadaka almost 25 Milion kwa mwezi na gavana anadaka almost 20 Milion kwa mwezi kabla ya makato. Wawili hawa ni the highest paid persons in the Government.

AKSANTE SANA MKUU KWA MAELEZO YAKO AMBAYO NADHANIA NI YA KWELI...

LAKINI:

Hoja Hapa sio kuangalia mshahara sh ngapi...
hoja kubwa kabisa ni kuangalia huyu mfanyakazi wa ikulu kwa miaka 25(LL.B) na bado akawa waziri kisha waziri mkuu ANAPOSEMA ETI KWENYE BANK ANAYO MILL 25 HUKU AKIWA NA NYUMBA MBILI. Hivyo vyote hata mimi nakidhi bila tatizo...

HOJA KUU:
MTOTO WA MKULIMA NI MUONGO KUZIDI HATA JK ALIVYO... NA KWAMWE TUSIWEWESEKE NA WATU WAONGO... KAMA UNAZO MALI WEE SEMA TUU WATU TUJUE KWA WADHIFA WAKO UNAYO KILA SABABU YA KUWA TAJIRI (LAKINI SIO WA "KUPINDUKIA")
 
eliesikia kama huna kazi za kufanya njoo tukupatie.

Kweli kaka kazi ya kufanya sina nataka nijiunge siasa na mimi nikaibe kama watoto wenzangu wa wakulima... maana sisi tumefulia japo ndo nimeanza kupiga hatua hadi kwenda ughaibuni lakini nina hamu na mimi nipate kashughuli kaa wizi kama kaa Mhe.
 
Mtoto wa mkulima ndie nani? Km ni PM sio mtoto wa mkulima, yule ni fisadi, mwizi kama wenzake. Mtoto wa mkulima wa ukweli mshahara wake huwa ni mavuno tokana na mazao ya shamba!
 
Kweli kaka kazi ya kufanya sina nataka nijiunge siasa na mimi nikaibe kama watoto wenzangu wa wakulima... maana sisi tumefulia japo ndo nimeanza kupiga hatua hadi kwenda ughaibuni lakini nina hamu na mimi nipate kashughuli kaa wizi kama kaa Mhe.

Kweli tupu.
Fisadi ni role model kwa tuliokosa mwelekeo wa laif
 
Back
Top Bottom