Ubinafsi in action: Mtoto wa mkulima kidole na jicho kwani nyani haoni........

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
wakati mtoto wa mkulima miezi miwili iliyopita akiteteta posho za wabunge za shs. 70,000 kwa siku na mshahara wa shs.milioni 7500000 kwa mwezi kuwa hazitoshi leo hii anapata wapi jeuri ya kusema mil.3.5 kwa mwezi ni pesa nyingi sana na serikali haina uwezo wa kulipa?? wabinafsi wakubwa hawa inapokuwa issue inayogusa public needs hawana fedha lakini inapokuwa issue inawagusa wao kama leaders basi wako tayari wananchi wale majani ili wapate wanachokita. Ubinafsi wa viongozi ndio unaonekana waziwazi ktk issue hii asante ulimboka na wenzako kwa kuwatoa nyoka hawa shimoni.
 
Back
Top Bottom