Mshahara wa 'bank officer' NMB ni kiasi gani?

Morick

Senior Member
Dec 11, 2012
114
17
Naomba msaada wa kujua basic salary ya bank officer wa bank ya nmb.
Nimepata huko but kabla ya huko nilipata kwenye NGO moja kwa mkataba wa miaka 2 na sehemu zote natakiwa kuripot mwezi huu. Asanteni
 
Hivi inawezekana kweli kujua trh/mwezi wa kuanza kazi bila mkataba wa kazi ambao unaonyesha package yako itakuwaje? Kama ndo hvyo hawa NMB watakuwa wasanii!!
 
Laki 7 weka MKOPO wa 40Millions, ulipwe within 10 Years kwanini wasijishaue??????

acha kudanganya watu wewe mikopo ya milion 40 amekwambia nani?NMB kwanza kabisa matawi yake yamegawanyika kwa grade 1 -3 so mshahara wa teller wa grade one ni tofout na teller wa grade 3.na hz grade zinategemea na profit ambayo branch inatengeneza but salary gloss inananzia kwenye 0.7m but ukiweka na overtime huwa wanajikuta wana karibia 1m na kuhusu mikopo inategemea na salary yako but kwa tellers ina range million 15.ushauri kama umepata ngo unapenda kuendelea na career yako vizur nakushaur uende kwenye ngo na sio bank coz kama umesomea uhasibu kule hakuna gain yeyote unayoipata ni ngumu kukuwa ki career,
 
1. Ivi bank teller na bank officer ni sawa?
2. Ivi 0.7m na laki 7 pana tofauti?
 
0.7m na laki saba hazina tofauti huo ni uandishi tu bank officer na bank teller ni tofaut.but wote ni bank officer ni very general but bank teller ni very specific hauwez kuwa bank teller bila kuwa bank officer but u can b bank officer but usiwe bank teller now days nmb wakiajir wanakuita bank officer n not bank teller so unaweza ukawa customers service office ,back officer n so on how wote ni bank officer so hata branch manager ni bank officer ninachokataa mm ni loan ya 40m hakuna labda uniambie imeanza jana hiyo policy i was nmb teller
 
Naomba msaada wa kujua basic salary ya bank officer wa bank ya nmb.
Nimepata huko but kabla ya huko nilipata kwenye NGO moja kwa mkataba wa miaka 2 na sehemu zote natakiwa kuripot mwezi huu. Asanteni

Hongera sana, at last, MUNGU amekuona ... utakapoenda, kafanye kazi kwa bidii sana kwani kuna maelfu wapo mtaani zaidi ya mwaka wakimuomba MUNGU lakini bado hawajajibiwa!
 
Naomba msaada wa kujua basic salary ya bank officer wa bank ya nmb.
Nimepata huko but kabla ya huko nilipata kwenye NGO moja kwa mkataba wa miaka 2 na sehemu zote natakiwa kuripot mwezi huu. Asanteni

Nashindwa kukusoma mkuu, kama sehem zote unaanza mwezi huu inamaana tayari sehemu zote unajua mshahara ni kiasi gani. Vinginevyo unataka kujua NMB wanalipwa mshahara kiasi gani.
 
Back
Top Bottom