- Thread starter
- #21
hata kama salary ni ndogo kiasi gani wewe piga kazi husiangalie mshahara hipo siku utakuta mambo yamekuwa mazuri tu... Uvumilivu ni muhimu wana jf....!:mod:
asante sana, nasikia faraja kwa ushauri wako
hata kama salary ni ndogo kiasi gani wewe piga kazi husiangalie mshahara hipo siku utakuta mambo yamekuwa mazuri tu... Uvumilivu ni muhimu wana jf....!:mod:
Hivi hiyo sio kazi eti eehhh mbona mie mkewangu ni secretary tena ananizidi mshahara wakati mimi ni injinia??? Acha dharau kijana
Habari wanajf? Kuna campuny moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu ktk nchiyetu. Chakushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract, pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh Tu. Na wanalipa kwa cammission. Kazi ni ngumu kwani wawezapata wateja hata 600 kwa mwezi but wakiondoa dublication unaweza jikuta unabaki na wateja 300 kwa mwezi hapo kuna kukatwa NSSF,
Ni sawa kweli wana jf?
Ahsante umenifariji nilikua na tatizo kama hilo ila kwa maneno yako umenitia moyo naamini ipo siku mvumilivu atakula mbivu kikubwa kumshirikisha Mungu tu.Hata kama salary ni ndogo kiasi gani wewe piga kazi husiangalie mshahara hipo siku utakuta mambo yamekuwa mazuri tu... uvumilivu ni muhimu wana JF....!:mod: