Msemo ya kitoto bwana....

Old Moshi

Senior Member
Jul 31, 2011
118
32
Mimi nilikua nikimchokoza mtu, akikasirika namwambia ivi 'ukinipiga unanionea, ukiniacha unaniogopa' misemo gani uliitumia ulipokua mtoto ambayo ukiikumbuka unafurahi. Weekend njema wadau
 
Usionee dagaa onea kambaree.. Hapo mbabe anataka akudunde unajitetea
 
Back
Top Bottom