SIMULIZI: Mama mkwe

Just Nana

JF-Expert Member
Jul 27, 2023
500
1,001
Sehemu ya kwanza:

Nilikua peke angu chumbani, ni siku muhimu kwangu kuliko siku zote nimewahi ishi katika umri huu wa miaka ishirini na moja, mwanaume niliempenda sana tangu nikiwa kidato cha tano na ambae ameuondoa usichana wangu, bwana Dominick Sakalla , pamoja na wanafamilia wake wengine walikua wanakuja kwetu kutoa posa....

Unaweza hisi tu ni furaha kiasi gani nilikua nayo, Dominic kaniheshimisha jamani, yalikua ni matamamio yangu kuolewa na mwanaume atakaeutoa usichana wangu, hata ivyo sikupanga kuolewa bila ya bikra, mapenzi mazito na ushawishi mkubwa toka kwa kiumbe huyu nikajikuta nimefanya maamuzi ambayo kwa kipindi kile niliyajutia na kuilaumu pombe ambayo niliinywa kwa mara ya kwanza maishani mwangu, na kwa ushawishi mkubwa toka kwa domi ...' love hii ni red wine , trust me kipenzi, hata hautolewa , utakua tips tu mamangu' mwe, na ushamba wangu mtoto wa kingoni mie, nikapiga glass kadhaa, mara vicheko vya hapa na pale , mara kumuegemea Dominic, hapo tupo wenyewe room kwake alikopanga Sinza ,by then nilikua first year hapo Ud...

Ile siku jamani, ndio niliingia kwa ulimwengu wa kikubwa, nililewa nikawa ata sijimudu kimaamuzi, ni kama nilikua nataka kuondoka na hapohapo nikataka kubaki, nilimkubalia domy awe mpenzi wangu baada ya kukubali kunivumilia kua hatutofanya mapenzi hadi atakaponioa, yes...huo ulikua msimamo wangu..

Ninachokumbuka ni zile touchings na kissings na maneno matamu ya kimahaba kutoka kwa dommy wangu, huyu kaka jamani dooooh....I was wet, sikuwahi fanya ngono kabla, hisia zipo juuu, kwa zile touchings plus kawine asikwambie mtu , nilikua kama chizi fulani ivi, nikajikuta Nampa dommy ushirikiano wa kutosha tuuuu....

Dommy hakua na imani ya kwamba ni kweli mimi ni bikra, maana kwa mazingira niliyosoma day schools tena hapa dar, hekaheka za madaladala plus wakora kama wote, na ukizingatia toto la kingoni nilijaaliwa, ila hakutaka kua msumbufu kwangu alivumilia kwa kipindi chote hicho ambacho sikua tayari...

Dommy was high at that moment, I was high too, hisia ziliongea, mziki kwa mbali, my boy alikua amejipanga kwelikweli, kaapartment kalikua kanavutia, he kissed me in a way I needed more, that kisss ....damnnn

Nilibebwa juu kwa juu hadi kitandani, akanilaza ile style maarufu ya yule mdudu anapenda kukaa chooni, akawa ananiangalia machoni akaniuliza' grace...unajua nakupenda kiasi gani? nikamwambia najua babangu, najua...

Then he kissed me deeply, akaanza nikiss kuanzia kwa forehead akawa anashuka taratibu , akafikia my nipples, akashuka kwa kitovu, ghooosh, I was already wet...

Sikua mshamba kiivo, I've seen people kissing kwa tv, so nilikua nikimpa ushirikiano, wa hapa na pale, kuhusu kuona watu wakisex , niliionaga my friends wanaangalia kwa cm , nilikimbia sikurudi room ile siku, nilipoona mwanaume na yule nyoka ananing'inia jamani, heee, muage mnavaa nguo tuuu....

Eti dommy akawa ananambia nimshike na yeye his dick, he...sijui ni pombe bhana, nikasema nitaogopa hadi lini, acha nishike na mimi nione hizo story za kina dorlin kua ukishika ipo soft, dommy akaendelea kunikiss, lahaula nyie dommy, si akafika pale mahala bhana, wakati huo nilikua naendelea kumshikashika yule nyoka ake nakua kama nambinya ivi, nikaona dommy anafunga macho, nikasema kumbe napatia eeeeh....

He continued kissing akafika kwa maeneo yangu muhimu, namshukuru Mungu mamangu alinifundisha juu ya kujitunza na kufanya usafi papuchi yangu, kwaio sikua na mashaka nayo....that guy akazama kwa papuchi, nikasikia kitu ya motooo inapita hukooo, nikapiga kelele moja tuuu....dommy yyyy



Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA PILI:


Aiseee asikwambie mtu, ile feeling mepata pale ilikua ni beyond explanations, my beib alikua ananinyonya papuchi ( ndio mnaita kupiga deki ehhh) ....ilikua hatari, dommy alikua na makusudi yule kiumbe, alikua anapiga deki wakati huohuo anashika pale maeneo pale, kale kadude kanafanana na kambegu fulani ukipanda yanaota maharage....that day jamani

Nikiwa katika kushangaa huo ulimwengu alinivuta upande wake, that guy akaingiza his dick kwa my papuchi, offcourse iligoma, si alikua haamini binti aliekulia tabata shule na kusoma Jangwani eti atunze bikra hadi anafika first year Ud...alijua nampigaga fix tuuu, dommy akashtuka, akanambia grace is this true, you are virgin....hapo mefumba macho kwa aibu...akanikiss sana yule kaka, mnooo...akanambia ahsante kwa hii zawadi, ntakuoa grace, ntakuoa mama....dommy alivunja usichana wangu ile siku, na penzi motomoto kuzidi kushamiri....

Yalifatia matukio mengi lakini yote yalikua ni kumbukumbu nzuri na za kupendeza , nilideka na nikadekezwa....namshukuru Mungu kwa zawadi ya dommy...Leo ni miaka mitano tangu namfahamu mwanaume huyu, mapenzi ni yaleyale , kujali ni kulekule, ups and down za hapa na pale sababu ya wivu lakini hatukuwahi vunjiana heshima....Leo hii dommy wangu anakuja kwetu rasmi kuhalalisha mahusiano yetu...

Nilikatishwa kumbukizi zangu na sauti ya mdogo wangu wa mwisho, alikuja akawa ananiambia nimsaidie kubana nywele zake, katika wadogo zangu wote Neema anadeka jamani, nawaza ataishije nami natakiwa nikaanze maisha yangu na Dominic wangu, nimekua kama mama kwa Neema maana mama etu amempata Neema nikiwa ni binti mkubwa kabisa, kwaio Neema amekua mikononi mwangu...nilimuangalia kwa upendo na kumsaidia kumtengeneza nywele zake, kimoyomoyo nilimuomba aje apate mume bora kama Dominic....

Masaa yakasogea, akaja dada yangu binamu kuniletea chakula, watu wa makeup wakawa wamefika pia, kila kitu kikaenda sawa tukawa tunawasubiri tu kina Dominic...kitu ambacho wageni waalikwa na baba yangu hawakuwa wanafahamu nilikua na mimba ya miezi miwili ya bwana Dominic, na ndio maana nikasema kua dommy aliniheshimisha, maana si kwa mdomo wa mashangazi zangu wale kua binti wa kwanza nimepata mimba nyumbani, dommy alinambia sitoacha uaibike, na kweli hakuniacha ,alifika nyumbani mapema kabla mambo hayajaharibika na kuja kujitambulisha....

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA TATU:

Nikurudishe nyuma kidogo ili upate picha ya familia yangu na ni jinsi gani nilimudu kujitunza na kukwepa mishale hadi nilipokutana na bwana Dominic....

Baba na mamangu walikua wakatoliki walioshika dini haswa, baba anasema alimkuta mkewe bikra, na akamuahidi mama kua atakua baba bora kwa mabinti zake maana tupo watatu na wote mabinti, ili waje wakue katika maadili ya kumpendeza Mungu wakawe na ndoa za furaha, kama angejua babangu kipenzi ....laiti kama angejua fungu linalonisubiri first born wake....

Nimekua hadi nafika level ya kuoelewa sijawahi shuhudia ugomvi wa wazazi wangu, tulikua tunakula pamoja na kusali pamoja usiku kabla ya kulala, ni familia iliyoishi kwa upendo sana, likizo tulikua tunasafiri kutembelea bibi na babu wa pande zote, likizo ya kati ya mwaka tukienda songea kwa kina baba , basi likizo ijayo ni Mbeya upande wa mama....

Kipato kilikua cha wastani wa kati, babangu akiwa ni muajiriwa wa shirika la reli Tazara na mama akiwa ni mwalimu walimudu kutupatia mahitaji muhimu na ya msingi , hua namshukuru Mungu kwa familia yangu ,daima nilikua nikiomba nipate mume bora kama babangu....

Ilipofika saa kumi na nusu, nikasikia gari imepack hapo nje kwetu, geti likafunguliwa na nikasikia shangazi akikaribisha wageni, nilitamani kuchungulia lakini dada binamu alikua makini nisije haribu makeup ....

Mungu ni mwema ,posa ilitolewa na ikakubaliwa, nikaitwa kuulizwa kama namfahamu Dominick, kwa ushamba wangu nilijua Dominic atakuwepo ila hakuwepo, walikuja mshenga, wajomba wa mume wangu na mtu mwingine ambae sikuwahi mfahamu, ila nikaja fahamu baadae kua ni mfanyakazi mwenzie wa mume wangu mtarajiwa...

Nilipokubali kua namfahamu, nikaambiwa dhumuni la ugeni ule na kama nipo tayari posa ile ipokelewe, niliona wanachelewa tu kwakweli, baadae Dominic alipigiwa simu hakua mbali na nyumbani akaja familia yangu ikamtambua....

Mahari ilifatia na ndoa takatifu pale roman katholic Kibamba, sikuamini kua Dominic kijana mtanashati, my first love alikua ananioa...ilikua ni zaidi ya furaha

Honeymoon kamati walitupa zawadi twende Zanzibar, my husband ni mfanyakazi wa Bank moja maarufu hapa dar, kwaio kamati haikua ya kitoto....we spent like a week in Zanzibar, mume wangu alikua amechukua likizo ya mwezi mzima kwa ajili ya harusi na kukaa na mimi, everything was so perfect....maisha ya ndoa yakaanza Sasa...

Kumbuka nilikua mjamzito eeeeh, baada ya ndoa tukasubiri upite mwezi ndio tuwape taarifa nyumbani kua niko na ujauzito, wazazi walifurahi mnooo, mama alinipa zawadi , mama mkwe akanambia siku zikikaribia niende Kibamba kwa ajili ya kujisikilizia, huyo ni mjukuu wake wa kwanza lazma ampokee yeye,mamangu nae akanambia nikikaribia niende kwake, mtoto wa kwanza lazma anisaidie yeye, nikakosa maamuzi ya nini natakiwa kufanya...


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA NNE:

Ujauzito wa Kwanza na changamoto zake, nashukuru Mungu mume wangu alikua ananipa moyo sana, niliolewa kipindi Cha kusubiria matokea ya chuo yatoke, kwaio sikua na ajira na ukichanganya na changamoto ya ujauzito sikumudu ata kufanya biashara yoyote. Mume wangu kipenzi aliniomba nivumilie nilee mtoto atakapokua amesogea kama nitakua bado sijapata kazi basi atanifungulia biashara, nikawa rasmi mama wa familia, mapenzi kwa mume wangu yalikua ya moto sana, alinidekeza sana dommy wangu....

Miezi nayo ikasogea sana, miezi ya kujifungua ikawa imekaribia, mama mkwe akakumbushia kua natakiwa kwenda Kibamba, ikabidi nimpigie mamangu aje anisalimie na pia nimuelezee ombi la mama mkwe. Mama alifika mapema tu, nikamueleza nia ya mama mkwe na kwamba mume wangu kanambia maamuzi ninayo mimi mwenyewe ingawa nilimwambia mama huu ni kama mtego, nikatae kwenda nionekane nimemkosea mama mkwe heshima, mama akanambia mwanangu wewe sasa ni mke wa mtu, kwaio lazma utii, nenda ukweni kwako...

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA TANO:

Siku za kujifungua zilikaribia, kwakua mama mkwe anaishi hapahapa dar, sikuona kama Kuna haja ya kwenda mapema kumsumbua, dadangu binamu alikuwepo kwangu kunisaidia mambo madogadogo sikua na dada wa kazi, mume wangu pia alikua ananipa kampan sana, mama na wanafamilia wengine. Siku ya kujifungua ilifika , nakumbuka ilikua jioni kama saa kumi na mbili tupo kufanya zoezi na dommy wangu ya kutembea, si unajua tena siku zimeisha uvivu kama wote, akawa akitoka tu job ananichukua kwenda mazoezi.

Uchungu ulinianzia hukohuko mazoezini, dommy akapanick, tukapata gari binafsi akanipeleka hospitali regency , dadangu akaleta begi la nguo na vifaa vingine .
Mungu mwema , nilipata mtoto wa kiume mwenye afya mnooo, mume wangu akamuita Lameck jina la marehemu babake... Mamangu na ndugu wengine pamoja na wakwe, marafiki wa mume wangu wote walishiriki nasi kutupongeza, bahati mbaya naweza kusema nilijifungua kwa operation, palikua na changamoto wakati wa kujifungua, ila cha kumshukuru Mungu nilikua salama mimi na mtoto...

Baada ya kuruhusiwa nikaenda rasmi Kibamba, ndio mara ya kwanza naishi ukweni, niliwahi enda lakini sikuwahi lala, nadhani ile kuishi karibu ilichangia pia, nilipokelewa kwa upendo mno, mtoto alipoangusha kitovu ndipo ambapo nilitakiwa kufahamu sasa ni aina gani ya familia nimeolewa, lakini sikuzingatia, labda ni ile kwamba ulikua uzazi wa kwanza, vingi sikua navifahamu na pia yule ni mamangu mkwe, kwaio sikua na sababu ya kua na shaka. Nakumbuka ilitokea usiku tukiwa tumelala, naamka alfajiri nimbadili mtoto pampers nikaona kua kimedondoka, mama alinambia itakapotokea kama itakua ni usiku au wakati ambao mama angu mkwe hayupo karibu lazma nimweleze, kwaio kulipokucha nilimwambia ma mkwe kua kitovu cha mtoto kimeanguka...

Mama mkwe alifurahi sana, akakichukua akaondoka nacho, kutokana na kua ni uzazi wa kwanza sikuona tatizo, nilikaa ukweni hadi mwanangu alipotimiza miezi mitatu ndio nikaruhisiwa kurudi kwangu.
Mume wangu alitupokea kwa upendo , kwakweli nilikua nimemmiss jamani,maisha yalisonga miaka ikakatika...Lameck akakua nami nikawa nimepata kabiashara ka kufanya kuniweka bize, nyumbani nikatafuta dada, maana mwanangu alikua ana miaka miwili tu.

Mtoto alipotimiza miaka mitatu, mamangu mkwe akarudi tena na demand ya kua anamuomba mjukuu wake akaishi nae, kumbuka ni mtoto wetu wa kwanza , ndio tunajifunza malezi, mume wangu kwa mara nyingine akanambia maamuzi yapo kwako, yaani mimi ndio niamue mtoto akae Kibamba au lah, nikaona sasa mbona ni kama huyu baba ananipa mitihani sana, ina maana mtoto asipoenda itaonekana mimi ndio nimekataza, kilichonikwaza ni mambo mangapi ambayo mama mkwe atatuamulia kwa hii ndoa?

Nikaona acha nishupaze shingo nione itakuaje, ata mama sitomwambia maana atasema umeolewa inatakiwa utii...nahitaji kukaaa na mwanangu, sijashindwa kumlea, kwa bibi ataenda kumsalimia...ili isilete shida nikamuingiza mtoto shule, ikitokea bibi ake ameulizia tena nitamwambia ameshaanza shule....

Kile kitendo kilileta mafarakano sana kati yangu na mama mkwe wangu, ikabidi tu nimshirikishe mume wangu, majibu yaliyotoka kwa mume wangu ndio yaliniacha hoi kabisa, akanambia usipende kubishana na mamangu, sikutaka kuingilia maamuzi yako au kukuamuru kua ni lazma mtoto aende kwa mama maana nawe ni mama unatamani mwanao, lakini neno la mamangu ni amri kwangu, kwahiyo muhula ukiisha mtoto ahamie kwa bibi ake.

Kwa mara ya kwanza katika kuishi na Dominic nilijikuta nimemkosea heshima, nakumbuka niliongea maneno ambayo hadi leo nayajutia sana, dommy aliniangalia akaingia kwenye gari akaondoka....Maisha yalibadilika sana pale ndani, ugomvi usioisha, mwisho nikaona isiwe tabu nikamwambia mume wangu weekend atupeleke kwa mama mkwe nikaombe radhi na kumwambia kua mtoto akimaliza muhula nitamuhamisha shule, dommy alifurahi sana, akatubeba hadi Kibamba, ilipofika jioni nilijua tunarudi wote maana kesho yake ilikua jumapili tuwahi ibada, nilichoshangaa dommy ananambia mama ana kikao na wewe, nitawafata keshooo....

Ilibidi niwe mpole, ikafika jioni tukapata chakula cha usiku, nikisubiria kikao, lakini mama mkwe aliingia chumbani kwake hakutoka, nilikaa sebuleni hadi nikapitiwa na usingizi, wifi yangu mdogo alikuja kuniamsha kua nikalale mama akinihitaji ataniita, kale kabinti kaliniangalia kwa huruma sana , ni kama alikua anajua kitakachotokea usiku ....

Nilingia ndani na mwanangu kulala, ilipofika usiku wa saa nane nikasikia hodi mlangoni kwangu, nikashtuka, nikawaza naota au? ile hodi ikajirudia tena na mlango kugongwa , nikasikia sauti ya ma mkwe amka tumechelewa, kumbuka ni saa nane usiku, nikaamka, nikamwambia mama, Kuna nini? Mbona usiku? Unaumwa? Akanambia unauliza maswali mengi muamshe mtoto twende...nikapewa nguo nyeusi mfano wa kanga, akanambia nivue kitenge changu nilikua mejifunga, nivae hiyo nguo, na mtoto nae nimvalishe pia....

Itaendelea .....


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA SITA

Nilipatwa na kama mshangao hivi, mavazi ya mama mkwe na ya wifi zangu yalinipa mashaka, pale nyumbani mama mkwe alikua akiishi na mabinti zake watatu, mume wangu alikua mtoto pekee wa kiume, wote watatu pamoja na mama mkwe walikua wamevaa vazi jeusi mfano wa shuka wamejifunga lubega, nami nimepewa nijifunge na pia nimfunge mtoto, mama mkwe alinambia nisivae nguo ya ndani. Nikiwa katika mshangao wifi anaemfuatia mume wangu kuzaliwa akanambia nimpatie mtoto ,nirudi chumbani nikanawe uso maana nilikua mekurupuka tu usingizini, nilichukua simu yangu kuhakiki saaa, je ni kweli niliangalia sawa kabla sijaamka kua ni saa nane au ni wenge la usingizi....

Ma mkwe akaongea kwa ukali kua nawachelewesha, kwa uoga nikanawa uso haraka haraka, sikukumbuka hata kupiga mswaki, nikavaa ile nguo kama wao walivyovaa nikatoka hadi sebuleni. Nilikuta wifi ameshamvalisha Lameck ile nguo, katoto kangu kalikua kameamka sasa, mama akanambia kaa hapo binti angu, wifi yangu mdogo akazima taa sebuleni, mama akawasha mishumaa na udi wa kunukia . Mama akaniangalia kwa upendo akanambia karibu katika familia yetu mwanangu, nilimwambia mwenzio akwambie mapema akasema hautomuelewa, tulikua tunafanya kwa siri lakini umeleta ujeuri kwa hiyo sadaka ya mwaka huu haijafanyika, umemponza mjukuu wangu mwanangu, sikuelewa kitu, hakuna nilichokua naelewa
...

Mama akanambia familia yao ina mzimu mkali, kila ifikapo tarehe ya kuzaliwa mtoto katika familia lazima ifanyike ibada maalumu, birthday zao hufanyika kwa namna ya kipekee sana, ndipo nikawa kama nimepata mwanga maana birthday zote za mwanangu kwa miaka miwili iliyopita tulienda kusherehekea ukweni hata kama ilikua ni siku ya kazi, tulienda na tukalala huko. Birthday ya huo mwaka ambao mwanangu ametimiza miaka mitatu ndio kipindi nilichoshupaza shingo, sikua na maelewano mazuri na mama mkwe wangu, kwaio nilimkatalia mume wangu kwenda, akamchukua mtoto kinguvu akaenda nae, akiwa huko akanipigia simu kua nahitajika niende, sikwenda na sikuona umuhimu kwani mtoto alikua ameshafikisha miaka mitatu hanyonyi tena, sikuona haja ya kwenda huko, waache wafanye sherehe yao watarudi tu.

Leo ndio naambiwa rasmi maana ya zile birthday sasa, mama mkwe alikaa chini akiwa amenyoosha miguu, wifi zangu wakafanya ivyo pia, nami nikakaa kwa kuwafatisha, mtoto wangu aliwekwa katikati yetu sote, sijui walimpa nini maana alikua katika utulivu sana, mama mkwe akanipa mzizi fulani ivi nitafune, haukua mchungu ila una ladha isiyopendeza, nikatafuna na baada ya mda nikaanza kusikia kama napatwa na usingizi hivi, sikufanikiwa kuelewa kilichoendelea hadi kulipopambazuka, niliamka nikiwa kitandani kwangu, mwanangu akiwa pembeni yangu, nilikua nimejifunga kitenge changu kilekile, Kuna kumbukumbu zilikua zinakuja na kupotea, ni kama tukio la jana usiku lilikua linajirudia hivi....

Nilichukua simu kuangalia muda, ilikua saa moja kasoro, nikakuta missed calls tatu za mume wangu , moja ya mama angu mzazi. Sijui ndio ndoa, huwezi amini nilianza kumpigia mume wangu kwanza, akatusalimia na kuniuliza unaendeleaje? Nikamwambia niko poa tu, akauliza mtoto ameamkaje nikamwambia yuko poa, tukaongea vitu vingi na kunisisitiza kua ananipenda sana, na maswali yoyote nitakayokua nayo atanijibu kwa ufasaha nitakaporudi.

Nikampigia mamangu kipenzi,sentensi ya kwanza ilikua ' grace upo salama mwanangu' , nikamwambia niko salama mama, nikamsalimia akanijibu kwa upendo sana, akanambia kama nitamudu niende kumsalimia pamoja na mtoto, maana ilikua ni jumapili, nikamwambia mama nipo ukweni, akija baba Lameck kutuchukua nitamuomba anilete kama mda utaruhusu, mama akasema sawa ujitahidi, mamangu ni wale wakatoriki walokole, anasali mnoooo.....

Nikaamka kwa ajili ya kusaidia majukumu ya hapa na pale, Lameck alikua bado amelala, ilipofika jioni baba Lameck alitufata, walizunguka nyuma ya nyumba na mama mkwe wangu waliongea zaidi ya nusu saaa Kisha akaaga tukaondoka. Nilikua nina maswali lakini huwezi amini sikua na nguvu ya kuongea chochote, ni kama kulikua na kitu kinanizuia, kumbukizi ya jana usiku ilikua inarudi pole pole, nikakumbuka jinsi mama mkwe alipokua anapaka dawa fulani ivi ya unga unga sehemu zangu za siri, nikakumbuka kuchanjwa pia, ni kama baada ya kutoka pale kwao akili yangu ikafunguka hivi, huwezi amini nilipiga kelele kama mtu aliechanganyikiwa, mume wangu aliogopa akasimamisha gari, akaniuliza una nini ?

Sikujali uwepo wa mtoto, nikaanza kuvua nguo harakaharaka, bahati nzuri gari yetu ni tinted, mume wangu akawa ananiangalia kwa hofu, nikavua nguo na kuanza kujikagua haraka, nikajikagua mwili mzima, sikuamini macho yangu, nilikua nimechanjwa kila Kona ya mwili, mgongoni , mikononi, kwenye paji la uso, kiunoni na kwenye viganja vya mikono....

Nikasikia pia maumivu sehema za mgongo na sehemu zangu za siri, maumivu yalikua ni makali mnoooo, ni kama nilikua nimechomwa ganzi halafu ikaisha ghafla, niliogopa nikaanza kulia, mume wangu akapanick, akaniuliza umekuaje? Nikamwambia sielewi ata sielewi, lakini nasikia maumivu makali mgongoni na sehemu za siri, akanambia turudi kwa mama, nilikataa kua siwezi kurudi, mume wangu hakuongea chochote aligeuza gari tukaanza kurudi tulipotoka....

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA SABA:

Nilikua nikilia kama nimepata habari za msiba, nikawaza ni nini kilifanywa jana kwenye mwili wangu, ni kwanini mama mkwe anifanyie ukatili ivyo ? Je mume wangu aliniacha kwao akijua kua nitapatwa na haya? Mume wangu alikua amekasirika sijawahi muona vile kabla, nilikua nimeshavaa nguo zangu, nilimkumbatia mwanangu kwa mapenzi sana ....Tulifika ukweni baada ya dakika kadhaa kwani hatukua tumefika mbali, mume wangu akanambia nibaki garini na mtoto. Dominic alishuka akaingia ndani, baada ya mda alitoka akiwa ameongozana na mama mkwe, wakawa wanaongea kwa kubishana sana, mama mkwe akatoa dawa kwenye pochi akampa mume wangu, mume wangu akarudi kwenye gari tukaondoka, kwa hali niliyokua nayo sikumudu hata kukumbuka kuhusu ahadi ya kwenda kumuona mama jioni ile....nilikua mepagawa, matukio yalikua ni mengi ndani ya muda mfupi...

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Hadithi nzuri...

Zamani ilikuwa lazima kuchunguza tabia na mienendo ya familia mtu anakooa au kuolewa. Ilikuwa inasaidia kuepusha mikasa kama hii.

Wewe naona umeolewa katika familia ya kichawi....ngoja tuone huko mbele itakuwaje!

Hongera kwa utunzi mzuri
Hiyo ni simulizi tu rafiki, ni matukio yanayotokea katika jamii zetu, mwandishi ameongezea nyama kidogo kunogesha....ila haihusiani kwa namna yoyote na Just Nana

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni simulizi tu rafiki, ni matukio yanayotokea katika jamii zetu, mwandishi ameongezea nyama kidogo kunogesha....ila haihusiani kwa namna yoyote na Just Nana

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Nalijua hilo...

Ila kuna nadharia moja inasema kwamba ni nadra sana kwa mwandishi kujitenga na kazi yake kwa asilimia 100. Na kwamba unaposoma kazi ya fasihi, kwa namna moja au nyingine, unakuwa unayasoma maisha ya mwandishi...

Kwa hivyo, hata hapa, lazima kuna chembe chembe za uhalisia wako japo kidogo - hasa pale mwanzoni!

➡️➡️➡️ Nakuchemsha tu bana...japo yaweza kuwa kweli...stubborn me! 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
SEHEMU YA NANE:

Mume wangu aliendesha gari kwa fujo sana ile siku, ni kama alikua amechanganyikiwa, sikutaka kumuongelesha, nilikua namuogopa, mwanaume niliempenda kwa mapenzi yote leo hii namuangalia kama kitu cha kutisha. Tulifika nyumbani nikapitiliza bafuni kuoga na kujitazama vizuri kwenye kioo cha bafuni, Lahaula....sio kwa alama zile mgongoni, ni kama nilichapwa mijeledi ya kutosha , mgongo ulikua na mistari ya kama kamba nene imepita na pia kwenye ile mistari damu ilivilia....

Dominic akaingia bafuni nadhani alihisi kua Kuna tatizo kubwa zaidi ya yale aliyoyaona kwenye gari, alipoingia na kuona ule mgongo alikaa chini akaanza kulia, sikuweza msogelea hata, Dominic alilia akitamka maneno matatu tu, ' Nisamehe Sana Grace' ....aliyarudia mara nyingi isiyo na idadi. Nilitoka nikamuacha dommy hapo bafuni nikaenda chumbani kwangu nikachukua kioo cha kushika na mkono ili nijichunguze zaidi sehemu zangu za siri, nilikuta pameongezeka ukubwa, ni kama paliingizwa kitu kikubwa sana, na ndipo nilipofahamu kua yale maumivu ninayoyasikia sehemu zangu za siri yatakua yametokana na kulazimishwa kuingizwa kitu iko, yaani nilichanika kiasi.

Nikakaa kutafakari ni kosa gani nililomfanyia mama mkwe lenye kustahili adhabu hii, mbona nilimuonesha heshima sana, mbona nilimuonesha upendo mkubwa, sikupata majibu hata...Dominic alinifata pale kitandani akainama akaniangalia pia maumbile yangu jinsi yalivyosulubiwa, akanikumbatia kwa uchungu mnooo...

Tulijikuta tunalia kwa pamoja, akanambia nilikusihi usibishane na mamangu Grace, nilikusihi, sikumudu kua na subira tena, yale mafunzo yote niliyopewa kabla ya ndoa jinsi ya kuongea na mume niliyasahau ghafla, hasira ilishika mahala pake, yaani mama ake amenitendea hivi bado anamtetea? Huyu ni mwanaume wa aina gani?

Nilinyanyuka nikapack nguo zangu na za mtoto, Dominic alikua ananiangalia tu hasemi kitu, nilimfata mtoto kwa dada nikakuta ameshamuogesha, nikamwambia dada jiandae tunaondoka, nikaita bajaji tukaondoka kurudi tabata. Nikiwa njiani nikawa nawaza narudi nyumbani kuwaambia nini wazazi, niwaambie ukweli au nifiche, nikisema ukweli nitakua nimeiabisha familia ya mume wangu, nikikaa kimya pia nitakua nazidi kuumia,oh God, haya ni mazito, namwambia nani anipe japo msaada wa mawazo...

Nyumbani tulipokelewa na dada wa kazi, mama alikua kazini. Nilimwambia dada nahitaji kulala , usimwambie mama kama nipo, niliingia ndani ,nikanywa dawa za maumivu na kulala. Ilichukua mda kupata usingizi, ndoto za mara kwa mara za kutisha hazikuacha kunifata, nilipoamka mume wangu alikua amepiga simu mara nyingi sana, akanambia naomba upokee kuna jambo la msingi sana nataka nikwambie.

Sikupokea simu kwakweli, nilikua nina hasira zisizo kifani, mume gani alieshindwa kunitetea , sina mume...sina mume...alipoona sipokei akatuma ujumbe kua amemtuma bodaboda alete ile dawa aliyopewa na mama mkwe pale nje wakati tunaondoka kwa mara ya pili, akanambia hata kama namchukia kiasi gani, ile dawa lazma ninywe, hakuna dawa ya maumivu itakayonipa nafuu, alisisitiza sana ninywe dawa...akaishia kwa kumalizia kua ananipenda sana, amepambana sana kutulinda lakini yaliyotokea yapo nje ya uwezo wake....

Baada ya nusu saa, dada wa kazi akaja akanambia kua kuna bodaboda ameleta bahasha, nikaipokea nikaiweka kwenye begi tulilotoka nalo nyumbani kwangu, jioni ilifika na mama akarudi kutoka kazini, alifurahi kuniona ila akashangaa mbona mekuja jumatatu, vipi kuhusu biashara yangu...si unajua wamama tena, nilijikaza nikamwambia nimewakumbuka tu, ila mama tayari alishajua hapa pana tatizo, hakutaka kunisumbua sana na maswali, usiku ukafika na baba nae akarudi, sikufahamu ni kipi mama alimwambia baba ila hakuniuliza maswali kabisa, mda wa chakula tulikula wote kwa upendo na ibada ya usiku ikaanza kama ilivyo kawaida yetu...

Katikati ya ibada nilianguka, mama akapata hofu sana , akazidisha maombi , nilikuja kupatwa na fahamu baada ya masaa mawili, nikakuta familia nzima ipo sebuleni inaniangalia, sikua na uelewa wa nini kilitokea, lakini maumivu ya mgongo pamoja na kichwa vilinifanya nianze kulia kama mtoto mdogo....

Kwa maelezo niliyokuja kuyapata baadae baada ya kupona, miaka miwili baada ya tukio la ukweni ni kua, ile siku ya maombi ya usiku pale nyumbani hadi nikaanguka, nilipoamka nilikua nalalamika kua naumwa sana kichwa na mgongo, mama na ndugu wengine wakapambana kunituliza, kumbuka hapo hakuna mtu anaejua kuhusu dawa ya maumivu iliyoletwa na mume wangu. Msimuliaji anasema nilikua nalia kama mtoto mdogo, nikaanza kujikuna na pia nikawa nafanya fujo sana, nadhani maombi pamoja na zile dawa nilizofanyiwa usiku vilikua vinapambana...

Nililia hadi nikapoteza fahamu, baba akaona haya yamekua makubwa, wakanibeba hadi hospitali, hali yangu ikazidi kua mbaya mnooo, nilikua kama kichaaa, ili nilale ni lazma nichomwe sindano ya usingizi. Mume wangu alipewa taarifa akafika hospitali mapema tu asubuhi yake, kwa maelezo ya msimuliaji ambae ni dada angu wa kazi, maana mama aliomba aendelee kubaki ili asaidie kulea mtoto kwa sababu alikua amemzoea sana...

Nilikaa katika hali ya kukosa ufahamu kwa mda wa miaka miwili, nilikua kichaa kamili, lakini nilikua chini ya uangalizi hospitali ya muhimbili, mume wangu alipambana nami kwa kipindi chote cha matatizo yangu, hakuwahi kosa Kuja kuniona kila alipopata wasaa wa kufanya ivyo, kwa taarifa tu za ndugu wasimuliaji ni kua mama mkwe wangu hakuwahi kukanyaga hospitali hata mara moja....

Ile ratiba ya kumchukua mtoto kila inapofika birthday yake ilikoma maana mtoto alikua chini ya uangalizi wa familia yangu, kwahiyo ile ratiba ya kuadhimisha birthday kwa namna yao ya kipekee kwa mda wa miaka miwili haikuwepo. Mume wangu ni kama aliisusa familia yake, inasemekana hakukanyaga kwao tangu siku aliposikia kua nimepatwa na kichaa...

Mungu ni mwema baada ya miaka miwili ya maombi , huduma za hospitali na upendo wa wazazi, mume na ndugu wachache, nikawa sawa kabisaaa....mume wangu aliwaomba wazazi wangu anichukue , mama alisita maana akilini mwake alijua zile alama mgongoni alizoziona wakati ananihudumia hospitali zilisababishwa na kipigo toka kwa mume wangu maana hakuna ambae alikua anaujua ukweli wa nini hasa kilitokea...

Mume wangu aliwasihi sana kua haitojitokeza tena amejifunza kutokana na makosa, tulirudi nyumbani na maisha yakaendelea kama kawaida....ilipita miaka mingine mitatu ,nikabahatika kupata mtoto mwingine wa kiume, kijana wangu wa kwanza akiwa mkubwa sasa...mama alikuja kunihudumia palepale kwangu maana mume wangu aligoma nisiende popote akasema atanihudumia yeye mwenyewe...

Nilidhani vita na mama mkwe ilikua imeisha, nilijidanganya Grace mimi...hakika nilijidanganya sana....

Itaendelea....





Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Nalijua hilo...

Ila kuna nadharia moja inasema kwamba ni nadra sana kwa mwandishi kujitenga na kazi yake kwa asilimia 100. Na kwamba unaposoma kazi ya fasihi, kwa namna moja au nyingine, unakuwa unayasoma maisha ya mwandishi...

Kwa hivyo, hata hapa, lazima kuna chembe chembe za uhalisia wako japo kidogo - hasa pale mwanzoni!

Nakuchemsha tu bana...japo yaweza kuwa kweli...stubborn me!
Hahahah....ukiona ivyo ujue mwandishi amefanikiwa kuuvaa uhusika, fasihi imewafikia hadhira, thanx for the support bro

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom