Msemo wa Leo....

yatima hachagui mlezi

ukiona simba kaja mjini...jua katumwa huyo

unataka mfupa una meno...
 
Utakula ulikopeleka mboga,mawe yameiva lakini kuni bado zimebaki,shamba la kuku halina mpaka,ukiona manyoya ujue kaliwe.
 
Ikiwa asiye sikia la mkuu huvunjika guu basi asiye sikia la mdogo huvunjika kono.
 
Back
Top Bottom