mojoki JF-Expert Member Oct 21, 2010 1,314 290 Sep 24, 2011 #45 naongea na ridhwan street kimenuka ongea na mshua...
mojoki JF-Expert Member Oct 21, 2010 1,314 290 Sep 24, 2011 #46 yatima hachagui mlezi ukiona simba kaja mjini...jua katumwa huyo unataka mfupa una meno...
N Nzagamba Yapi Senior Member Sep 1, 2011 167 72 Sep 24, 2011 #49 Ukitaka kujua umuhimu wa ****** kalia kichwa
Mvaa Tai JF-Expert Member Aug 11, 2009 6,159 4,443 Sep 24, 2011 #50 Mtoto akikojoa kitandani agombezwe, baba asipokojoa kitandani afanyiwe check up
V valid statement JF-Expert Member Sep 18, 2011 2,851 870 Sep 24, 2011 #51 mwanaume halali nje.asiporudi nyumbani usiku akaja asubuhi,hajalala nje.kachelewa kurudi.
Mamaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 4,833 3,815 Sep 24, 2011 #55 Utakula ulikopeleka mboga,mawe yameiva lakini kuni bado zimebaki,shamba la kuku halina mpaka,ukiona manyoya ujue kaliwe.
Utakula ulikopeleka mboga,mawe yameiva lakini kuni bado zimebaki,shamba la kuku halina mpaka,ukiona manyoya ujue kaliwe.
Slave JF-Expert Member Dec 6, 2010 5,314 2,635 Sep 24, 2011 #56 Ikiwa asiye sikia la mkuu huvunjika guu basi asiye sikia la mdogo huvunjika kono.
Slave JF-Expert Member Dec 6, 2010 5,314 2,635 Sep 24, 2011 #57 Kama hata kichungu huonjwa kwanini usionje sumu ya panya?
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,604 Sep 24, 2011 #58 Hii ya kwenye daladala pia "Msiba wa ki-China haukuhusu".