Bantugbro umeshawahi kugoma kwa lolote hata kwenye mgomo wowote ambao wanaharakati waligoma au nawe unataka uonekane tu kuwa unapost? Walimu wako wamegoma mara ngapi mpaka leo serikali yako ilifanya nini? Madaktari waligoma mara ngapi ili kuongezewa posho na wakabaniwa? usikurupuke kupost ndugu pasipo kufuatilia historia ya nchi yako kaka.