Msemaji wa Muhimbil National Hospital Bw Aminiel afunguka

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Akiri hali ya Muhimbili ni mbaya, huduma hazitolewi. Amesema mahudhurio ya wagonjwa yamepungua sana mfano kutoka 60 mpaka 10 kwenye kitengo cha emergency.

Wakuu mpaka Aminieli anaamua kufunguka ni ukweli usiopingika hali ni tete.

Source; East Africa radio
 
Watajitokeza tu hadi wasemaji wao, pamoja na kwamba kwenye matukio mengine huwa hawjitokezi. Tunashukuru madaktari kwa mgomo huo mpaka hata wale ambao huwa hawafanyi kazi leo wanafanya kama huyo msemaji wa MNH. Msilegeze hata kidogo.............
 
ningekuwa raisa JK ningewatimua PM ,waziri husika pamoja na katibu mkuu wake. hawapo serious mbona ishu ndogo tu hii mwenyewe ingenichukua dakika mbili tu kuimaliza. Kikubwa wangekubali madai yao waende wakatafute hela tu. "Wachina wana msemo wao kuwa hata uwe msomi kiasi gani huwezi kushindana na mbumbumbu 100,000 watakushinda tu".
 
Kuna mdau kanambia hata emmergency department Muhimbili ilifungwa leo ambulance zilikuwa zinarudia mlangoni,kazi ipo kwa kweli :canada:
 
Nimesikiliza hutuba ya mhe pinda kwa kweli hawa madakitari walimdharau hivyo kibinadamu lazima
waziri mkuu awe na hazira kwanini jana awakwenda kulikuwa akuna sababu yoyote ya msingi zaidi
ni ubishi tuuu mngeenda fanyieni kikao then muombe siku nyingine ya kukutana nao hata leo kwa hili
pinda kasha wakamata amna ujanja rudini hodini katibuni wagonjwa mjipange tena wakati mwengine
mambo mengine yanahitaji hekima siyo bangi sasa mnaona hata tuliokuwa tunawasaport tumeishiwa
nguvu ndg zangu kujikwaaa siyo kuanguka kajipangeeni upya hapo mmechemsha nendeni tuu kafanyieni kazi
huko mahakamani mmnapoteza muda wenu
 
acha uke.....nge wewe
 
Hela ya RICHMOND, RADA, DOWANS hela zipo, ila za mishahaar ya madaktari na watumishi wengine hazipo. JE TUTAFIKA?
 
Tatizo ni kuwa Pinda anatetea posho zake na wabunge wa CCM halafu anawaambia wataalamu kama madaktari kuwa hakuna hela.

Where is the logic, hivi anataka wasomi wote lazima tuwe wabunge ili tuishi vizuri....

Aliweka bad precedent kwa kulinda posho za wabunge sasa a karmic situation inamrudia yeye mwenyewe...:A S-coffee:
 
ningekuwa raisa JK ningewatimua PM ,waziri husika pamoja na katibu mkuu wake. hawapo serious mbona ishu ndogo tu hii mwenyewe ingenichukua dakika mbili tu kuimaliza. Kikubwa wangekubali madai yao waende wakatafute hela tu. "Wachina wana msemo wao kuwa hata uwe msomi kiasi gani huwezi kushindana na mbumbumbu 100,000 watakushinda tu".

Jk anaogopa kufanya hivyo kwani watamuumbua walivyo na siri zake nyingi za usadi in short akimwaga mboga wao watamwaga ugali
 
Subirini TBC1 jioni muone watakavyochakachua...

Kile chombo cha habari siyo chetu jamii ya kitanzania tena bali kwa sasa ni mali ya magamba kinatumika kulinda maslahi yao kwa kuipotosha jamii
 
Inaonekana pinda alilazimisha kukutana na ma dr. siku ya j2, kwa kiongozi bora ange-cool down his temper kwa lengo la kutengeneza another room for negotiation if not reconciliation na ma md. yote kwa yote ufalme umeshafitinika, pinda hajijui, makinda hajitambui, jk ndo kadata na safari, mwema anajua kazi yake ni kuzuia maandamano kwa virungu na maji ya kuwasha + mabomu ya machozi na ak47 front, mwamunyange anawaza kuwatisha wapiga kura, ndugai posho tu, nape kukijenga ccm kwa matofali ya barafu, wabunge wa ccm na wakuu wa mikoa/wilaya wamepewa kazi ya kumsifu jk hata akijipumzisha baada ya kula kunde kibao!!!!!! ene wei mimi naamini ma md. wata-triumph at last!!! kwani wenye nchi wataandamana kudai huduma bora za afya ambazo kwa sasa hazipatikani hata ambazo ni duni!
 
Tatizo ni kuwa Pinda anatetea posho zake na wabunge wa CCM halafu anawaambia wataalamu kama madaktari kuwa hakuna hela.

Where is the logic, hivi anataka wasomi wote lazima tuwe wabunge ili tuishi vizuri....

Aliweka bad precedent kwa kulinda posho za wabunge sasa a karmic situation inamrudia yeye mwenyewe...:A S-coffee:
Huwezi kupinga posho za wabunge kwa kuomba wewe pia Posho... Ni akili ya kitoto ambao hugombania peremende..Posho za vikao zinapigwa vita kwa mtu yeyote na msimamo huo hauwezi kubadilika.. Tufanye migomo kupinga posho za vikao na sio kuomba posho zaidi kuongeza matumizi ya ndani ili kumuumiza mwananchi anayelipa kodi na kisha bado analipia matibabu.
 
Huo ungamia wako unautumia vibaya, kwani madaktari wameyeyushwa mara ngapi na hao viongozi wako pale walipokubaliana wakutane na viongozi wako wakalala mitini? haya nenda na hiyo pinda wako mkatibu watu muhimbili na kwingineko tanzania. msilete siasa kwenye haki za watu.
 
TBC kuchakachua ndizo zao, IGWE Tido mhando angekuwepo nami ningeshawishika kuangalia TBC1 lakini nimeacha na miezi 3
 
Back
Top Bottom