TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,305
14,200
20230901_135925.jpg

Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha.

Hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake.

Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zilizogharimu shilingi laki 7 kwa siku.
 
Mbona umendika kama vile ni maarufu anajulikana
EATV

East Africa TV 1m

X

#TANZIA Taarifa zilizotufikia hivi sasa msanii wa kike wa Bongo Fleva #HaithamKim amefariki dunia hospitali ya rufaa Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu.

Meneja wa wasanii Ben Q amedhibitisha taarifa hizo kupitia WhatsApp status yake.

Taarifa zaidi kinachoendelea kuhusu msiba wa Haitham Kim tutakujuza kupitia mitandao yetu ya kijamii, TV na Radio.

#RIPHAithamKim

TANZIA

MSANII HAITHAM KIM AFARIKI DUNIA

eastafrica RADIO

Ya EastAfricaTV | East AfricaRadio
 
ndiyo nani ?

Back
Top Bottom