TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Wape nafahuu Sajuki(rip),vengu na wagonjwa wengine!!!! Na hili ni pigo bongo movie jingine,pole wastara na ndugu zake wengine...
 
Hivi aliugua hasa nini?

Alikuwa na shida kwenye figo/mapafu. Alitkwenda kutubiwa India kwa muda mrefu kidogo, alipata nafuu. Ila hapa majuzi alidondoka jukwaani wakati anawasalimia mashabiki, nadhani tangu siku hiyo hajanyanyuka tena.
RIP brother Sadiki Juma Kilowoko (SAJUKI)
 
INNA LILAH WAINNA ILAYH RAJ'UUN - Nawatakia wafiwa moyo wa subira kwenye kipindi hiki kigumu, kifo ni chetu sote ila kamwe hakizoeleki
 
R.I.P Sajuki, Pole sana Wastara, hakika umwanamke shujaa maana ulipambana kadri ya uwezo wako na ulimpenda sana mumeo but Mungu kampenda zaidi.
 
Nimeguswa mno na msiba huu, tutegemee rambi rambi kubwa toka lkulu.
 
Kwetu sisi ni kujifunza kwamba kila nafsi itaonja umauti! Ina lilah wa inailayh raji'un!
 
Back
Top Bottom