TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Upumzike kwa amani mkuu! RIP Juma kilowoko!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Apumzike kwa amani, Mungu amfariji mkewe kwa msiba huu mzito jamani.

Wasanii wamepata pigo tena. Daaaaah!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
R.I.P Sajuki. Pole sana kwa familia na marafiki wa Sajuki.
 
Msanii Juma Kilowoko
(SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika
hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa
Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya
Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa
anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu

source: ITV facebook page

hakika sisi wote ni wa mola na kwake sote tutarejea'
 
Mbona RAY C Kapigwa Tafu Fastaa, Ila Huyu Jamaa Kasotea Saana?
 
Pole sana Wastara,

RIP Said Juma Kilowoko, nlikuona juzi EATV kipindi cha MIKASI ulikua umechangamka sana, nkajua sasa unakaribia kupona, kumbe ndio ulikua unatuaga.
 
Msanii Juma Kilowoko
(SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika
hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa
Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya
Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa
anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu

source: ITV facebook page

r.i.p Sajuki
 
Juzi kwenye mikasi ya EA TV akipoulizwa kuhusu afya yake alisema labda afe kwa jingine si kwa ugonjwa aliupata.
 
Back
Top Bottom