Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

Nani kasema kuwa na gari ni maendeleo? Hatahivyo, ni vizuri mtu kuishi maisha yake na sio ya watu au mtu mwingine.
Mi nilidhanin huo mjengo wa nyuma yake ndo wake kumbe gari? dah kazi kwelikweli
 
Anapo pa kulala pa maana, kama ana ride kama hii and still lving in mbagala at mama place, bado hajakuwa.
 
diamond_mawzo.jpg

Nani kasema wasanii wa bongo hawana maendeleo, check mchuma mpya wa DIAMOND..

we bwna mdogo wewe, hivi na wewe ni great thinker? una habari za ki-umbeya umbeya, huna habari za maana. Haya napendekeza modes wakuanzishie jukwaa la hbr zako pekee, utachagua jina la jukwa hilo.

Kuwa na gari si maendeleo, ni alienation tu kwani ni kitu cha kuharibika within a minute. ila kumiliki viwanja, majumba na miradi mingine ya mda mrefu. Gari lenyewe hata namba za usajili halina, sijui la burundi?
 
El Toro samahani kwa hili lakini kuna baadhi ya information ukiwa unazileta inabidi uwe unazifanyia uchunguzi kwanza. Wabongo tunapenda kujikweza sana hiyo gari siyo ya Diamond bali hiyo gari na hiyo nyumba inayoonekana alipewa kwa ajili ya kufanyia shooting tu ya wimbo wake wa Mawazo ambapo producer wa video hiyo ambaye anaitwa Adam wa Visual Lab ndio alisaidia upatikanaji wa location tusiwe tunapenda kudanganya kwanini tusiishi maisha yetu ya kawaida tu.

Finest, nashukuru kwa ku clear doubt.
 
Nampongeza dogo kwa achievementlakini wakuu kuwa na gari kama hiyo kwa maisha yakibongo ni sawa na ndoa katoliki (au chupi), tading is very difficult

he could have started with something normal maana hiyo itamla sana pesa na aombe mno aendelee kupanda.

Hivi inafikaje kibwegere?
 
Nampongeza dogo kwa achievementlakini wakuu kuwa na gari kama hiyo kwa maisha yakibongo ni sawa na ndoa katoliki (au chupi), tading is very difficult

he could have started with something normal maana hiyo itamla sana pesa na aombe mno aendelee kupanda.

Hivi inafikaje kibwegere?

Umenena mkuu hiyo gari ni balaa inakula pesa kinoma
 
Hilo gari co la daimond bali la washkaji flan hv wametoka marekani hz benz zipo kama 5 hv mjini zina plet number imeandikwa rich texas daily hao washkaji wanawekaga mafuta sheli ya engen hapa mikocheni so asiwadanganye watu ni lake.
 
mbona hujaambatanisha na kadi ya gari ili tuthibitishe kuwa mchuma wake kweli!
 
JF never bores aisee....TF umesema kweli bro reality ndo tunaitaka....just being critical....kwa hiyo bei jamani inatia shaka khaswaa though inawezekana but it is a heavy dough dough for the young boy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom