Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

diamond_mawzo.jpg

Nani kasema wasanii wa bongo hawana maendeleo, check mchuma mpya wa DIAMOND..

am not sure kama this is true story, coz kwa wale wafuatiliaji mtagundua hii nyumba na hili gari ndivyo vilivyotumika katika shooting ya MOYO sasa leo mtu kamega picha pale anatulete JF eti mchuma mpya wa Diamond! hebu tuwe tunafanya uchunguzi kabla ya kupost hapa.
 
jaffarai huyu huyu aliekuwa analelewa na shyrose banji? U must be joking!

acheni mambo yenu kwani diamond hawezi nunua gari la aina mbona pesa ipo tu hata sisi tulioko vijijini tunazo,watu wengine mnakalia inchi haina hela mala mafisadi mnaacha kujishugulisha kufanya kazi mnafuatilia maisha ya watu, jamii folum msiwe mnaweka hv vitu
 
Jombaaa acha habari za udaku,unahakika hiyo gari ni yake?hizi habari mnazitoa wapi
 
diamond_mawzo.jpg



Nani kasema wasanii wa bongo hawana maendeleo, check mchuma mpya wa DIAMOND..


sio mkoko wake huyu almasi. huu ni mkoko wa kuazima,mwenye mkoko anaitwa RICHARD MZIRAY katoka nao mbele baada ya kupiga box na nyani ngabu majuu kwa obama. upo hapo mwana?
 
Hata angekuwa na Vogue cha msingi amefanya maendeleo ya kutosha? miradi ya uhakika? manake bongo fleva huwa hazidumu ni kama baraza la mawaziri la serikali ya kiwete.
 
El Toro samahani kwa hili lakini kuna baadhi ya information ukiwa unazileta inabidi uwe unazifanyia uchunguzi kwanza. Wabongo tunapenda kujikweza sana hiyo gari siyo ya Diamond bali hiyo gari na hiyo nyumba inayoonekana alipewa kwa ajili ya kufanyia shooting tu ya wimbo wake wa Mawazo ambapo producer wa video hiyo ambaye anaitwa Adam wa Visual Lab ndio alisaidia upatikanaji wa location tusiwe tunapenda kudanganya kwanini tusiishi maisha yetu ya kawaida tu.

tf sio tu kua na data huyu inaelekea ni mgeni sana hapa... kama unakumbuka kuna dogo mmoja aliletaga hayo maswaga kipindi flani akitumia picha hii hii... yule dogo alieleweshwa mpaka akaelewa.. so mzee make sure that you follow the so called literature review before making a step forwad...
 
Iyo gari c o ya diamond..mwenye hizo gari mm namfahamu kiasi..anaitwa michael vulton au a.k.a mike texas..ni mshua uyo bwana mdg amestae marekan tangu anazaliwa .,nw amerud bongo inshort ametokea kwny royalt family.,na gari zote hapa mjini zna tz iyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom