Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Killy anafanya vizuri sana. Ngoma zake hata sasa ni kali sana, ila tu kwasababu bado ana ngoma chache.

Killy na Anjella wako vizuri kama wakipewa muda.
Hawa wandia kali, hata angela yuko vizuri sema ndo hivyo
 
Wandia ni ya Cheed.

Ngoma za Killy ni Roho, mwisho na Ni WEWE.

Ngoma kama ni Mwisho binafsi naiona ni kali sana.
Yes kweli nimechanganya... Kweli wandia ya cheed.
Killy mimi nilimwelewa toka ile ngoma aliyofanya video nisher. Nilihisi ana management nzuri yenye ukwasi maana kwa kipindi hicho nisher alikuwa bado bado top
 
Aisee wabongo tumejaa chuki.
Sijaona tatizo liko wapi kama mkataba umeisha kuna ubaya akienda kujitegemea?
Mbona kafanya ngoma nyingi kali akiwa konde gang...

Baby naisikiliza kila siku na naipenda sana sana

Pia Far iko good...

Lazima maisha yaendelee, tupunguze chuki na kuchonga ngenga, kama ni rahisi fungua label mpe mkataba wewe.
 
Nimeona sio tuu hapa tu jamiiforum mpaka kwenye mitandao ya kijamii Watu wanamshambulia harmonize, nadhani kinamcost kondeboy ile interview aliyofanya airport akitoa shutuma Kali kwa Boss wake wa zamani Diamond Platnumz aliongea maneno mengi mengine yanamrudia na yanamtokea kwenye label yake ndio maana anakutana na hii dhaama ya wanazengo
 
Alikuwa anakimbiza mno kwenye trap ya kibongo Ila alivyojiunga na machinga gang alidrop mno......kaka ake kaiza Sosa amsapoti dogo arudi tena kwenye Ile peak yake maana now naona ad mwanae Young lunya anakimbiza...

Au warudiane na Moni Central zone(MOCO)
 
Aisee wabongo tumejaa chuki.
Sijaona tatizo liko wapi kama mkataba umeisha kuna ubaya akienda kujitegemea?
Mbona kafanya ngoma nyingi kali akiwa konde gang...

Baby naisikiliza kila siku na naipenda sana sana

Pia Far iko good...

Lazima maisha yaendelee, tupunguze chuki na kuchonga ngenga, kama ni rahisi fungua label mpe mkataba wewe.
Hakuna kitu, mshikaji mpak amefuta picha zote IG , ujue kuwa hataki kuona kumbukumbu yoyote ya kondegang
 
Inaonekana kaondoka vibaya ingawa konde myuzik for everibade wanajaribu kuficha hiki sababu Kitaamchafua njomba chumali sababu alipaka mbaya kwa diamond
 
Inavyosemekana mkataba haukuisha, umevunjwa kwa lazima na Konde gengi walikuwa wanataka fidia ila wakayamaliza baada ya jamaa fulani anayeheshimika mjini kuingilia kati, record label ni biashara ya kibepari
 
Tutasikia mengi wanaanzaga hivi hivi.
Screenshot_20220112-102756_Instagram.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom