Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

Wewe ndio hujaelewa ,na labda huna exposure na uzoefu kwenye swala husika, hoteli inapokuwa na nyota tano kuna standard pia lazima uziweke hata kwenye hizo rooms ikiwemo ukubwa ,huwezi kumlipisha mtu laki mbili per day halafu umuwrke kwenye chumba kidogo kama choo ,kwa ufupi hiyo hoteli haitokuwa na ubora na itakosa wateja wa hadhi hiyo ya nyota tano, mleta mada yupo sahihi
Kwahiyo wewe umekubali maneno ya mtoa mada? hana ushahidi na anachoongea na wala hajaingia kwenye hiyo Hotel. Halafu Mwanza kuna Hotel ya zaidi ya laki 2 kwa siku na zinajaza.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaji aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabidi achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5.

View attachment 2660462
Inamaana hawakuelewa wanachokifanya tangu mwanzo au kwa sababu ni mapesa ya kuchota tu kwa mfuko wa mafao ya watu.
 
Kwahiyo wewe umekubali maneno ya mtoa mada? hana ushahidi na anachoongea na wala hajaingia kwenye hiyo Hotel. Halafu Mwanza kuna Hotel ya zaidi ya laki 2 kwa siku na zinajaza.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Achana na wapumbavu wasio kuwa na punje ya tafakuri kwenye bongo zao, yanakaa kusikiliza umbeya tu usiokuwa na fact wala ukweli wowote na hii ndio.sifa za watanzania wengi yaani yamekaa kama manyumbu.
 
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaji aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabidi achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5.

View attachment 2660462

5 Star Hotel Amenities​

  • Elegant rooms with living rooms, kitchens, and patios
  • In-room jacuzzi tub
  • Designer linens and bathrobes
  • Golf courses
  • Spas with nail and hair salons, massage options, and facials
  • Pools, hot tubs, steam rooms, and saunas
  • Top-of-the-line fitness center and coaches
  • Premium staff service (doorman, butler, personal concierge, valet, child care)
  • On-site gourmet restaurants and bars
  • Various entertainment options

5 Star Hotel Benefits​

  • Luxurious and glamorous experience
  • Full-service attention and pampering
  • Desires catered for
  • Highest standard of comfort and relaxation
 
kwenye picha unawezaje kuona size kwa mfano?
Leta picha, mfano nikileta picha mbili za nyumba pamoja za ukubwa tofauti kwani ubongo wako utashindwa kutofautisha ukubwa, ubongo wetu umendwa na nerves na cell nyingi sana zenye uwezo wa kufanya intergration stahiki na lazima kwa kuangalia tu picha me nitajua size ya hizo rooms, sina ubongo wa samaki kama wako.
 
Back
Top Bottom