Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

5 Star Hotel Amenities​

  • Elegant rooms with living rooms, kitchens, and patios
  • In-room jacuzzi tub
  • Designer linens and bathrobes
  • Golf courses
  • Spas with nail and hair salons, massage options, and facials
  • Pools, hot tubs, steam rooms, and saunas
  • Top-of-the-line fitness center and coaches
  • Premium staff service (doorman, butler, personal concierge, valet, child care)
  • On-site gourmet restaurants and bars
  • Various entertainment options

5 Star Hotel Benefits​

  • Luxurious and glamorous experience
  • Full-service attention and pampering
  • Desires catered for
  • Highest standard of comfort and relaxation
Mwambie huyo popoma maana ya "Elegant room" na kwa nini hawajasema big rooms au huge sized room bali wamesema Elegant rooms.
 
Leta picha, mfano nikileta picha mbili za nyumba pamoja za ukubwa tofauti kwani ubongo wako utashindwa kutofautisha ukubwa, ubongo wetu umendwa na nerves na cell nyingi sana zenye uwezo wa kufanya intergration stahiki na lazima kwa kuangalia tu picha me nitajua size ya hizo rooms, sina ubongo wa samaki kama wako.
Sina mashaka na uwezo wako wa kufikiri ila napata tabu sana na namna unavyofikiri maana naona unawaza tu
 
Mwambie huyo popoma maana ya "Elegant room" na kwa nini hawajasema big rooms au huge sized room bali wamesema Elegant rooms.
elegant applies to what is rich and luxurious but restrained by good taste. a sumptuous but elegant dining room. rare suggests an uncommon excellence.
Cha kwanza kilichotajwa ni size- hivyo vingine ni qualifiers tu
 
elegant applies to what is rich and luxurious but restrained by good taste. a sumptuous but elegant dining room. rare suggests an uncommon excellence.
Cha kwanza kilichotajwa ni size- hivyo vingine ni qualifiers tu
Acha blah blah leta picha ya hizo rooms kubishana bila evidence ni sawa na ukichaa, mimi nimeshaingia humo na kila floor naijua na huwezi kunidanganya chochote kihusu Mwanza au miradi ya mwanza iwe project za sasa na za wakati ujao na kila chocho ya kila mradi mimi najua, ili jambo lako lingekuwa la kweli ningeshalizumgumzia sehemu husika hata kabla yako, nazani una jambo lako na haupo hapa kwaajili ya kurekebisha bali kuchafua na kuharibu, naomba niishie hapa🙏
 
Mkuu ukubwa wa vyumba si wa kiwango cha hoteli ya nyota tano- sasa hapo wivu uko wapi?
Em tuambie hotel ya nyota tano inatakiwa kuwa na vyumba vya ukubwa gani, na hio hotel ya nssf vyumba vyake vinaukubwa gani?

Ulete na picha lakin
 
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaji aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabidi achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5.

View attachment 2660462
Siyo laima iwe ya nyota tano.

Watanzania bado tu wajinga.
 
Back
Top Bottom