Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,837
Habarini wakuu??
Aiseee hii nchi mimi inanishangaza sana.
Dini zetu zimeanza kuiingiwa na siasa kwa kiasi ambacho MUNGU anaweza kuchukizwa,miaka yote tumeshuhudia tamasha la pasaka likiwa limebeba ujumbe mbalimbali ambao ni wa kibiblia au kijamii(ikiwemo kutoa misaada kwa watu wenye shida).
Ila mwaka huu Tamasha hili limebeba jumbe mbili ; (i) KUSIFU NA KUABUDU
(ii) KUPONGEZA MIAKA 2 YA SAMIA
kama kupongezwa samia kapongezwa sana YATOSHA, Kwanini mnalazimisha mambo mengine ambayo yanaweza yakagawa Watanzania.
Tunafahamu fika kuwa watanzania tumegawanyika katika makundi mawili
(i) wenye imani na samia
(ii) wasio kuwa na imani naye
sasa kwa mjumuiko wa dini yetu kwanini mnataka kutugawa??
Watu wengine tunakuja kwnye tamasha kuomba toba na uponyaji wa kiroho na si masuala ya pongezi za wanasiasa ambao kutwa tunaumizana vichwa juu ya maendeleo ya nchi.
(Kama mna mahaba mazito mpongezeni hukohuko)
JITAFAKARINI!!!!!!!!
————————————-
KWANINI MGENI RASMI NI NAPE?????
Kwa uamuzi huu siwezi na rudia siwez kuhudhuria hii tamasha kwa msimamo wangu.
Iweje out of all people mgeni rasmi awe huyu?
siwez nkawa nafumba macho naabudu MOLA wangu afu nkifumbua jicho kuangalia kwenye stage namuona mtu ambaye amenisababishia machungu na maumivu juu ya maamuzi yake mabovu na ya hovyoo juu ya miamala, bando na sekta ya mawasiliano kiujumla.
IFIKE HATUA TUMUHESHIMU MUNGU WETU YEYE KAMA YEYE SIYO KUCHANGANYA VITU VINGINE KAMA SIASA IBADANI.
MSAMA PROMOTION UMENIKWAZA!!!! NA SIJI KWENYE TAMASHA LAKO.
NA UJIREKEBISHE LA SIVYOO UTAPATAA LAANA ISIYOEPUKIKA YA MWENYEZI MUNGU
“YA KAISARI MPE KAISARI NA YA MUNGU MPE MUNGU”