kijukuu kindo
Member
- Sep 19, 2010
- 86
- 12
wanaume wengi ndo walivyo, ila kwanza kabla ya kufikiria kumkaukia nawe jaribu kuangalia mazingira mloachana wakati akienda kwa hicho kikao cha harusi, usikute ulimuudhi then akaamua kwenda kikao chake na mhudumu mahali fulani.
Hata hivyo muwekee kijicho utamtambua kwa undani kuwa anakupenda ila ako na wivu juu yako ama ndo kibuyu kimelia hivyo. teh,teh,
Hata hivyo muwekee kijicho utamtambua kwa undani kuwa anakupenda ila ako na wivu juu yako ama ndo kibuyu kimelia hivyo. teh,teh,