vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
Yamenikuta mwenzenu.....nina mchumba taratibu zote tayari bado kuanza vikao tufunge pingu za maisha august.. hapa nilipo nina ujauzito wa miezi nane yani na expect march mwanzoni nijifungue ndo mana tumeshindwa hata kuanza vikao vya harusi ndugu wa pande zote mbili wanasubiria...Mpenzi wangu huyu amebadilika toka nilivyopta ujauzito kwanza Swala zima la kuongeza njia halipo ni since na miezi 2 mpk leo 2mefanya almost mara3 tena kwa shida sana...yani hajiskii kbs namuona na mm coz of pregnancy....sijali sana Lakini jamani nkienda kwake CMU yake siioni hadi siku naondoka anaificha akienda kuoga anenda nayo...amekuwa mkali,haeleweki..Jana sasa tunatoka job ananirudisha home usiku kama saa 2 hvi..kufika sehemu karibu na kwetu tu akashuka anunue i thnk crdt..si ndo akasahau simu kwenye gari...ikaingia msg and mm kuwa desparate hii cm y huwa anaificha ndo nkachukua nkasoma MAMA YANGU...msg imeandikwa samahani mpenzi najua nimekusumbua hadi huku then sijatoka home wameshafunga geti and mind u kuna mda aliniach sehemu akasema anamcheki friend yak mara1 a ndo mda huo alipokea cm nahisi alienda kwa huyo msichana....NKACHUKUA CM NKASHUKA NAYO NKAONDOKA NKAENDA HOME SIJUI NFANYE NIN...bdy nkaipiga ile namba ya yule msichana akaasem yeye hamjui mchumba wangu a hana mahusiano yyt na mtu mwenye jina hiloo...bila kujua kwamba cm ya hy mwanaume ninayo mara inaingia msg kweny cm ya mchumba wnagu...sorry swity unaijua hii namba...yani yule dem katuma namba yangu anaulizia kwa kifupi ndo hivy na msichana ni ana matusi anatukaa usiku kucha sijalala yani kila nkihema msg ya matusi ya nguon...mwanaume hajasema ksitu ndo kwanza kaondoka zake yn Hjali nimeamua nisitishe mpango wa kila kitu am i right...kufanay hiv n what should i do to forget that i hv thsi prolem nau coz i cant say how i feel a so comfused yani sijui sijui sijui kila kitu naona kizito hap duniani...