Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
wadau nina rafiki yangu ambaye amelazimika kwenda open university lakini yeye anaona shule itakuwa ngumu kwani hamna lectures kaja kwangu kuomba ushauri mi nikamwambia ngoja nikaulize JF naombeni mnijuze elimu ya pale iko vipi yeye hafanyi kazi ila mumewe Ndo anataka akasome huko please nijuzeni nimsaidie huyu rafiki yangu