msaidieni huyu rafiki yangu

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
wadau nina rafiki yangu ambaye amelazimika kwenda open university lakini yeye anaona shule itakuwa ngumu kwani hamna lectures kaja kwangu kuomba ushauri mi nikamwambia ngoja nikaulize JF naombeni mnijuze elimu ya pale iko vipi yeye hafanyi kazi ila mumewe Ndo anataka akasome huko please nijuzeni nimsaidie huyu rafiki yangu
 
Aarrrgghh hivi kwa NINI KAMA HUWEZI MSAIDIA M2 UCKAE KIMYA,UACHE WANAOWEZA TOA MSAADA WAFANYE HIVYOOO.UNATOA MANENO YA KEJELI HUKU M2 YUKO SERIOUSLY IN TROUBLE. SHAME ON U SO CALLED GREAT THINKERS,SHAME ON U
 
open university ni nzuri sana , cha msingi aende mkoani kwake kama ni ilala wapo pale elimu kwa njia ya posta , temeke sjiui walipo , kinondoni ni opp na ubungo plaza jirani na engen filling station watamshauri afanye nini

atasoma vizuri na atamaliza bila shaka , material na hata walimu wa kumfundisha wanapatikana kwa wingi
 
Aarrrgghh hivi kwa NINI KAMA HUWEZI MSAIDIA M2 UCKAE KIMYA,UACHE WANAOWEZA TOA MSAADA WAFANYE HIVYOOO.UNATOA MANENO YA KEJELI HUKU M2 YUKO SERIOUSLY IN TROUBLE. SHAME ON U SO CALLED GREAT THINKERS,SHAME ON U

Hapo umemsaidia au umelialia tu!
 
kweli umeongea la maana yani watu wengine badala ya kutoa msaada wanaanza kejeli na mizaha cyo poa kabsa big up@Good guy
 
Nafikiri msaada halisi ni mumewe ambaye anamlazimisha kwenda huko. lakini kiukweli elimu ya open ni ngumu na inahitaji uvumilivu because unaweza kumaliza degree baada ya miaka hata nane
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom