Msafiri kafiri, udandiaji huu awajibike nani?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
148425_161664443873103_100000886457957_316351_6865833_n.jpg

Bongo hakuna ustaarabu, hata katikati ya jiji la Darisalama kitovu cha kuunganisha usafiri wa ndani Posta ustaarabu umetupiga kikumbo mtu unapogeuza dirisha kuwa mlango wa kuingilia huku tairi likiwa ndio ngazi ya kupandia dirishani.
 
watu wa mbagala ndo tabia yao,hawawez kubadilika hata ukiwapeleka new york wataruka tu dirisha.
 
Usisahau na pende za Gongolamboto ni staili hiyo hiyo, mwenye nguvu ndiye anayeweza kupata siti, la sivyo utasota kituoni.
 
hiyo c ya mbagala angalia vizuri halafu siku hz wako tofauti sana

Rangi yake inaonyesha kana kwamba ni ya Gongolamboto, ila sina hakika, wanaojua zaidi watusaidie, nimepanda mara kadhaa hata wiki tatu zilizopita nilipanda ya Mbagala, Temeke na Gongolamboto, ila rangi zao zanikanganya mpaka uzizoee zaidi.
 
Tatizo la kumiliki usafiri binafsi

Ubungo --Gongo la mboto. Kwani huoni jengo la Tanesco kwa mbali kuonesha kua hapo ni ubungo ni sio posta kama ulivoandika
 
khe poleni wa dar, sie huku singida full kupiga kwato af daladala ziko zinazoenda sehemu moja boman hadi stendi kuu sehemu zinazobakia zote ni kupiga kwato kwa wale wanatoka sgd wamenielewa.
 
148425_161664443873103_100000886457957_316351_6865833_n.jpg

Bongo hakuna ustaarabu, hata katikati ya jiji la Darisalama kitovu cha kuunganisha usafiri wa ndani Posta ustaarabu umetupiga kikumbo mtu unapogeuza dirisha kuwa mlango wa kuingilia huku tairi likiwa ndio ngazi ya kupandia dirishani.

Naona jamaa anaplly uninja ili apate siti katika basi.
 
148425_161664443873103_100000886457957_316351_6865833_n.jpg

Bongo hakuna ustaarabu, hata katikati ya jiji la Darisalama kitovu cha kuunganisha usafiri wa ndani Posta ustaarabu umetupiga kikumbo mtu unapogeuza dirisha kuwa mlango wa kuingilia huku tairi likiwa ndio ngazi ya kupandia dirishani.
Mkuu@Candid Scope Dahh umenikumbusha mbali sana miaka ya 1980 wakati namaliza shule kumbe mpaka leo haya matatizo ya usafiri Dares-Salaam hayajakwisha? Duhh nchi yetu kumbe ipo mahali pabaya sana. poleni
sana ndugu zangu ehhh kasheshe kweli nchi yetu.

maisha+bora.jpg
 
Usisahau na pende za Gongolamboto ni staili hiyo hiyo, mwenye nguvu ndiye anayeweza kupata siti, la sivyo utasota kituoni.
na hiyo coaster ni ya huku kwetu Gongo la mboto,nahisi kama siku ile nilikuwepo pande hapo Ubungo;si ilikuwa mida ya saa 11 jioni?
 
khe poleni wa dar, sie huku singida full kupiga kwato af daladala ziko zinazoenda sehemu moja boman hadi stendi kuu sehemu zinazobakia zote ni kupiga kwato kwa wale wanatoka sgd wamenielewa.
hapo kwenye nyekundu ndi pamenifurahisha,ni kupiga kwato kwenda mbele tena kwa afya,hilo basi ni la gmboto ubungo!balaa tupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom