Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa JK wapigwa mawe Tegeta juzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lucchese DeCavalcante, Jul 2, 2012.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,471
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakuu juzi msafara wa JK akielekea kwake Msoga ulipata kwikwi pale Tegeta baada ya pikipiki mbili kuingilia msafara huo amabapo JK alikuwa kwenye gari aina ya Nissan Patrol. Gari ya mkuu iliingia mtaroni na wananchi wenye hasira wakaanza kulishambulia kwa mawe lakini TISS waliikabili hiyo hali kwa kufyatua ambapo watu wa 3 walifariki papo hapo.

  Nawakilisha
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,654
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  ulikuwa waapi siku zote mkuu manake hii story ilishapita,anyway tuweke foto tuone jinsi mkweree alivyoinama ndani ya nissan patrol akikwepa mawe
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,471
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sikuwa na Internet access mkuu until today
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 11,454
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Haahaaa! Slowly but surely the mind set of people are changing. Anayedharau mwiba mguu utaota tende. Lets get back to the drawing board to rescue the situation
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,274
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Alikuwa anaelekea misitu ya pande kusalimiana na wakina msangi nini?
   
 6. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 7. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 950
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mbona ikulu ilikanusha kwamba msafara haukupigwa mawe?
  nawasilisha
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 4,928
  Likes Received: 708
  Trophy Points: 280
  Hii niliisikia ila hilo la watu watatu kufa hapohapo ndo nalisikia hapa,walitaka kumchapa makofi kama yule wa Mali au?kweli mmempa mh udhaifu wa kupitiliza,mtauwawa nyie watu Mh anaruka karate balaa!!wangemsogelea waone mziki wake.
   
 9. piper

  piper JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama wangekiri kuwa msafara umepigwa mawe, kufanya hvyo wangeonyesha udhaifu

  • [​IMG]
   
 10. m

  mamiake JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2016
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 219
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  wanaume wa dar
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2016
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 10,208
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  Usipende kutumika, waache watu wachambue hoja MPYA.
   
 12. Infantry Soldier

  Infantry Soldier JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2016
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  kama hii story ni kweli, basi watanzania tumefikia hatua mbaya sana aisee
   
 13. N

  Nando JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2016
  Joined: Oct 5, 2014
  Messages: 4,248
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  stori ya 2012 mnaileta saizi, acheni hizo bhana.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2016
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 41,852
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  JK alikwa anawadekeza sana Bavicha jaribuni sasa hivi kumtupia mawe Magufuli muone kitakachotokea.
   
 15. B

  Bhampupile JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2016
  Joined: Jul 6, 2015
  Messages: 331
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Kama hali imeshafikia hivyo ,,basi mzee aambiwe atulie tu kwanza pale ,,Msoga,, hasira za wananchi zipungue kwanza,,

  Yaani badala ya kumshangilia Rais mstaafu wanampopoa na mawe hatari sn aiseee.
   
 16. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2016
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 32,235
  Likes Received: 6,740
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu hapo tegeta kibaoni mbona hata ofisi ya Bavicha hakuna ?
   
 17. m

  mederii JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2016
  Joined: Jul 30, 2015
  Messages: 265
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Kwahili la kutupa Mawe kwa kiongozi wananchi walifanya makosa sana huwezi tupa mawe kwa kiongozi has a ukizingatia Mhe rais mstaafu
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2016
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 5,546
  Likes Received: 1,987
  Trophy Points: 280
  Wivu wa kike tu wa waswahili, hata mpige msafara wake mawe ana billions kama sio trillions zake za kumtosha, au mnasemaje!?
   
 19. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2016
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,670
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Duh
   
 20. b

  bantu.garage JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2016
  Joined: Oct 13, 2015
  Messages: 1,451
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Itawasaidia nini kusema uwongo......No wonder tunabaki kama tulivyo na viongozi wanachukua advantage hii kujinufaisha wao na familia zao.Tutabakia kupewa t shirts na upande wa kanga huku watoto wetu wakisomea chini na kula madawa ya kulevya.Tubadilike tuwe wa kweli na tudai haki zetu kisheria bila UNAFIKI.
   
Loading...