Msaada

lutamyo

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
641
159
Tafadhari sana nahitaji msaada ili kuweza kusoma habari za Bishop Kakobe hasa ile iliyosema Kakobe alipua Bomu
 
kwanza karibu sana jf.
pale juu kuna sehemu ya ku search chochote humu ndani...we andika kakobe utaona thread zote zinazomuhusu.
 
Tafadhari sana nahitaji msaada ili kuweza kusoma habari za Bishop Kakobe hasa ile iliyosema Kakobe alipua Bomu

hhaha yani mkuu umejiunga kwa ajili ya ile habari.. tehtehetehe... serch KAKOBE haiyamkini utaipata
 
hhaha yani mkuu umejiunga kwa ajili ya ile habari.. tehtehetehe... serch KAKOBE haiyamkini utaipata

Asante sana kaka ila nadhani siku jiunga kwa sababu ya ile habari ya Bish.Kakobe bali nimejiunga huku JF niweze kupanua mawazo na pia kutoa mawazo yangu maana najua hiki ni chombo huru sana na kina watu walio pevuka kikweli kiweredi na kimtazamo na pia kwenye tafakuri za maaana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom