jinsi ya kuweka program kwenye cd mpaka ikawa installed kwenye computer za watu wengine. Namaanisha kama nimeandika kwenye text pad na nika compile na nika run, lakini hii program yangu nataka niiweke kwenye computer ili itumike kwa kila mtu, na nisiandike program nyingine ya muundo huo. (IMPLEMENTATION OF PROGRAM OR WRITTEN PROGRAM INTO REAL USE)