Msaada ya wa Kujiunga na Package ya STANDARD WEEK ya intaneti ya Tigo kwa kutumia simu

tototundu

Senior Member
Jul 29, 2009
198
40
Juzi Tigo walinitumia message ya jinsi ya kujiunga na package ya intaneti ya STANDARD WEEk kupitia simu yangu yenye uwezo wa kujiunga na mtandao wao wa 3G kwa shilingi 4500 kwa wiki.
Unatakiwa kutuma SMS yenye neno STANDARD WEEK kwenda namba 1...., hiyo namba ndiyo nimesahau na message nilifuta.
Naomba mwenye kujua hiyo namba anijulishe humu tafadhali.
 
STANDARD WEEK to 15166
 
Back
Top Bottom