Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,487
Wakuu nina tab yangu Galaxy Note, nilikuwa natumia whatsapp kwa line ya Voda. Baada ya kubadili line na kuweka airtel , whatsapp imekataa kufanya kazi. Nime uninstall na ku install tena lakini bado. Ina install kama kawaida. Nikifungua inafunguka kama kawa then inaomba niingize number ya simu. Nikiweka ok , ita search mpaka basi. Sometimes inasema no network. Lakini ku-surf na-surf